Huyo ndiyo Washawasha!
Dah! huwa naye anafanyaga mgomo na kuniambia kama siendi kumtembelea basi naye hatokuja kuniona,ndio huwa nakwenda kwa shingo upande.hahahaaaa!!usiwaze negative bana
muwazie mazuri dada ako,hakuna talaka
wala nn nenda kamtembelee tu!!
nimeshapoa.Mmmh! aiseee pole sana
umeona eh! ila hapa raha sana unakasirika unabakia kuizaba kibao kompyuta na kutulia mwenyewe.Mkuu rekebesha lugha imekuwa kali kidogo!! asume wewe ndo unaambiwa hivyo lazima utakasirika kiasi!!
dada yangu ni mtulivu tu na wala sio mapepe ila hiyo ni tahadhari yangu niliyojiwekea kwake.Kama dada yako ni mcharuko na hajitambui lazima uuogope sana tena nakushauri usiende kumtembelea,lakini kwa sisi ambao dada zetu ni very decent na wanamheshimu Mungu hata mwezi tunapiga kambi
ndio mimi ukisikia mwengine ujue ni wa kuchovya.Yap, mzee wa kulog off
ni kweli ndugu,aisee huyu ndiye dada yetu mkubwa na ninampenda sana pindi alipoolewa nilikonda sana na alikuwa na wakati mgumu huko aliko ilibidi awe anakuja kututembelea japo mara moja kwa wiki ili mradi kuniridhisha,nakiri kwamba nampenda sana na familia yote wanalijua hilo.Pole bt uwe unamtembelea japo mara moja kwa miezi mitatu, me sidhani kuwa ni uoga ila ni upendo ulionao kwake kiasi ambacho hupendi kukuta akiwa na matatizo
hahahahaha dah! kila mtu na balaa lake aisee.Una utani na Chilisosi?mwenzio anaishi UK na dada na shemeji na hakuna tatizo
Sijui hii imekaaje lakini inaniwia vigumu sana kwenda kumtembelea dada yangu aliyeolewa,kwa hofu ya kwamba naweza kufika nyumbani kwake ndio nikakuta anapewa talaka au anagombana na mumewe na kuambiwa aondoke kwao na nitakapofika dada yangu anaweza kuniambia ,kaka afadhali ulivyokuja unisaidie kubeba vitu vyangu.
Nalog off

Mimi nakumbukaga nilifika kwa dada weekend......shemeji akanitoa out.....tukiwa bar nakumuka zamani kulikuaga na vipombe vinaitwa TYSON, kama viroba hivi..............tukiwa tumekaa kaunta akamwambia jamaa ......nipe dawa kaka....yule jamaa akachukua Tyson tatu akavikata akamwekea kwenye glass.........mimi niliagiza beer........shemeji akaniuliza , Shem, ushajaribu hii ( Tyson)....nikamjibu hapana shem........akanijibu....Hii ni Blaaa....unasugua mashine usiku kucha.......namsuguaga mpaka inakauka.........alafu inakua tena wet...alafu inakauka tena.
duh..!!.Mimi nakumbukaga nilifika kwa dada weekend......shemeji akanitoa out.....tukiwa bar nakumuka zamani kulikuaga na vipombe vinaitwa TYSON, kama viroba hivi..............tukiwa tumekaa kaunta akamwambia jamaa ......nipe dawa kaka....yule jamaa akachukua Tyson tatu akavikata akamwekea kwenye glass.........mimi niliagiza beer........shemeji akaniuliza , Shem, ushajaribu hii ( Tyson)....nikamjibu hapana shem........akanijibu....Hii ni Blaaa....unasugua mashine usiku kucha.......namsuguaga mpaka inakauka.........alafu inakua tena wet...alafu inakauka tena.