Naogopa kumtembelea Dada yangu aliyeolewa.

Naogopa kumtembelea Dada yangu aliyeolewa.

Sijui hii imekaaje lakini inaniwia vigumu sana kwenda kumtembelea dada yangu aliyeolewa,kwa hofu ya kwamba naweza kufika nyumbani kwake ndio nikakuta anapewa talaka au anagombana na mumewe na kuambiwa aondoke kwao na nitakapofika dada yangu anaweza kuniambia ,kaka afadhali ulivyokuja unisaidie kubeba vitu vyangu.
Nalog off

Kama vipi "log off" kwenda kwa dada yako!
 
Usipo mtembelea dada yako shemeji yako ataona kuwa hamumpendi hivyo atamdharau sana anaweza ona kama zigo mmetua! mtembelee ndugu yako na si kuwaza mabaya tu! fikiria unaweza kukuta wapo mezani wanasherekea wewe kupata mpwa!
 
Mkuu Washawasha, ulichoongea kuna siku kilishanikuta.Nilipita kumsalimia sister.Dah!Nilikutana na ugomvi balaa, sister anakula kipondo cha nguvu.Kwa kweli sikutaka kuingilia,walipigana humo ndani,walivyomaliza wakakuta kuna wageni nje.Shemeji yangu alitapa shida sana kwa ajili ya aibu.Kwa hiyo ulichoongea kinaweza kutokea,ila huwezi kuepuka, ndoa ina mambo mengi,kuna raha na karaha.
ni kweli kaka BHULULU ndio maana nahofia kwenda kwa kuwa mimi najijua nisingeweza kuvumilia kusikia dada yangu anakula kichapo aisee ningelianzisha bonge la timbwili ndio maana najizuia kwenda na hili mpaka nyumbani wanalijua nilikuwa nikiingilia sana pale dada alipokuwa akiadhibiwa na nikawalazimisha wazazi wangu wanipeleke kwenye mafunzo ya kung fu ili mradi niweze kumlinda dada yangu na lolote lile nililo na uwezo nalo na wao walipolitambua hili basi walikuwa hawamuadhibu dada mbele yangu,ila huyu ndiye dada mkubwa katika familia yetu.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Usipo mtembelea dada yako shemeji yako ataona kuwa hamumpendi hivyo atamdharau sana anaweza ona kama zigo mmetua! mtembelee ndugu yako na si kuwaza mabaya tu! fikiria unaweza kukuta wapo mezani wanasherekea wewe kupata mpwa!
wameshamuhadithia ni jinsi gani nilivyokuwa nikimlinda dada yangu na upendo nilio nao kwake,kwahiyo shemeji ananiogopa kuliko maelezo sasa huwa sitaki nimpe tabu,huwa napenda kujipa safari za hapa na pale ili mradi muda mwingi nisiwepo Tz.
NAlog off
 
Sasa kama dadako ana hulka ya kubanduliwa toka utotoni lazima uogope
 
Sasa kama dadako ana hulka ya kubanduliwa toka utotoni lazima uogope
kha! maumbile yake si yanamruhusu kubanduliwa,we ulitaka yeye ndiye awe anabandua?
Nalog off
 
hahahaaaa!!usiwaze negative bana
muwazie mazuri dada ako,hakuna talaka
wala nn nenda kamtembelee tu!!
 
Sijui hii imekaaje lakini inaniwia vigumu sana kwenda kumtembelea dada yangu aliyeolewa,kwa hofu ya kwamba naweza kufika nyumbani kwake ndio nikakuta anapewa talaka au anagombana na mumewe na kuambiwa aondoke kwao na nitakapofika dada yangu anaweza kuniambia ,kaka afadhali ulivyokuja unisaidie kubeba vitu vyangu.
Nalog off

Mmmh! aiseee pole sana
 
Kama dada yako ni mcharuko na hajitambui lazima uuogope sana tena nakushauri usiende kumtembelea,lakini kwa sisi ambao dada zetu ni very decent na wanamheshimu Mungu hata mwezi tunapiga kambi
 
Back
Top Bottom