SENIOR PASTOR
Member
- Apr 19, 2012
- 27
- 3
je, umejua kwanini unaogopa kufaa? Shetani anakutisha. Lakini la msingi ni kutojua baada ya kufa nini kinafuata. Njia ziko mbil moja kwenye uzima wa milele na njia mbili kwenda mbinguni na jehanamu ya moto ili usiogope omba kuokoka maana hatima yako itakuwa ni nzuri. Maombi yako ya kuepushwa na kifo hayawezekani kwakuwa ni njia ya Mungu kwa wanadamu wote.Habari wana JF,
Mimi naogopa kifo sana,maana ukijiangalia ki sawa sawa huwezi amini kama siku moja utazikwa na kulaliwa na kifusi cha udongo.
Kwa kweli najuta sijui kwanini nilizaliwa? Nawakati unajua kuwa nitafariki na kuzikwa?
Eeee Mungu mimi naomba nisife! Nakuomba sana Mungu uniepushe na hili.
Mimi naendelea kuomba, Leo nimejifungia siku ya tatu ndani ya chumba changu naomba kufa na kupona, sili chakula wala nini namlilia Mungu mpaka nikwepe kifo.
Jamani epukeni dhambi tuungane pamoja.
Siku njema.
Kwa wale waaminio katika Mungu hawatakuelewa....mimi naamini katika Mungu lakini nakuelewa kwakuwa najua ni kwanini nimechagua kuamini katika uwepo wakeReligion is just a feeling good therapy
Ukitaka faraja hata kama ni ya uongo,utapata
Kifo ndio mwisho wa mwanadamu
Hadithi za Mbingu na Motoni ni kujifariji
Huyo Mungu unayempigia promo hapa.Hayupomwogope Mungu shetani kumbe ashatawala watu wengi e Mungu tusaidie
Duu Weye balaa inamana hutaki kwenda peponi au hutaki kukutana Na aliye kuumba? Basi utakuwa mmoja wa hawa Watu tatu.Habari wana JF,
Mimi naogopa kifo sana,maana ukijiangalia ki sawa sawa huwezi amini kama siku moja utazikwa na kulaliwa na kifusi cha udongo.
Kwa kweli najuta sijui kwanini nilizaliwa? Nawakati unajua kuwa nitafariki na kuzikwa?
Eeee Mungu mimi naomba nisife! Nakuomba sana Mungu uniepushe na hili.
Mimi naendelea kuomba, Leo nimejifungia siku ya tatu ndani ya chumba changu naomba kufa na kupona, sili chakula wala nini namlilia Mungu mpaka nikwepe kifo.
Jamani epukeni dhambi tuungane pamoja.
Siku njema.
Sababu zipi zilikufanya uamini uwepo wa Mungu?Kwa wale waaminio katika Mungu hawatakuelewa....mimi naamini katika Mungu lakini nakuelewa kwakuwa najua ni kwanini nimechagua kuamini katika uwepo wake
Ni za binafsi sana haziwezi kueleweka kwa asiyeaminiSababu zipi zilikufanya uamini uwepo wa Mungu?
Kwa mungu hakuna muda sasa mungu anawezaje kupanga siku ya hukumu, wakati nje ya muda hakuna saa , siku wala juma au mwaka. Mungu hawezi kuumba kiumbe ili aje akihukumu ili hali yeye (Mungu) anajua weakness zote za kiumbe chake. Kwa hiyo Mungu kumhukumu kiumbe wake huyo ni kama haiwezekani ki-logic!Duu Weye balaa inamana hutaki kwenda peponi au hutaki kukutana Na aliye kuumba? Basi utakuwa mmoja wa hawa Watu tatu.
1) Wewe ni tajiri sana unaogopa utajiri wako wataufaidi ndugu zako ulio kuwa huwapendi.
2)mkuu au muheshimiwa Fulani hutaki kuachia madara.
3) mkubwa wa dini unaogopa utakwenda kuulizwa Haya kwanini ulichepuka Na wake za Watu.
Najuwa una siku nne unaomba endelea kuomba.
Mkuu hii ni logic gani? Naona kama umemaliza kuchoma vile!!!!!Kwa mungu hakuna muda sasa mungu anawezaje kupanga siku ya hukumu, wakati nje ya muda hakuna saa , siku wala juma au mwaka. Mungu hawezi kuumba kiumbe ili aje akihukumu ili hali yeye (Mungu) anajua weakness zote za kiumbe chake. Kwa hiyo Mungu kumhukumu kiumbe wake huyo ni kama haiwezekani ki-logic!
Si bure, unaelekea kwenye uchizi.
Kuishi ni Kristo kufa ni faida