Nanyimwa chezo baada ya kulipia guest

Nanyimwa chezo baada ya kulipia guest

Ni mchumba wako au demu wako?
Wakuu nipeni ushauri baada ya kuelezea mkasa huu, kwamba nipige chini au niendelee?

Ni wiki moja sasa imepita tangu nimtongoze binti mmoja mtaani kwetu ambae si mwenyeji sana pale kitaa.
Yeye ametokea Dodoma na amefikia kwa mama yake mdogo Dar, lengo ni kuja kutafuta maisha. Elimu yake ni Darasa la 7. Ni msichana mrembo sana na mkubwa kimwili. In short kwa upande wangu amenivutia mno.

Siku 3 baadae (baada ya kumtongoza), nikaanza harakati za kufosi chezo. Ukiangalia na yeye kwa mujibu wake ni kwamba anahamu pia, aliniambia ana muda mrefu tangu siku ya mwisho alipoliwa mambo. Nikajiona mwenye bahati sana, yani chapu Mbuzi kaja kufia kwa muuza supu.

Kesho yake ikabidi nipange mipango ya show. Kumbuka mwezi wa 1 huu hali ni ngumu, nilikuwa na kama 30 moja hivi kwenye balance yangu. Nikapiga hesabu chapu kama nikilipia Guest room 15, dogo namuungia 5, na 10 inayobaki nifanyie mambo mengine.

Muda ukafika, demu alijiandaa vizuri, nikikumbuka na pigo alizopiga siku hiyo.. Dah!!! Ni majanga!
Njiani nilihisi wachawi kibao wanatukodolea macho maana sio kwa balaa lile.

Kidume nikatangulia Guest huku mchumba akiwa nyuma yangu, nikafungua pochi nikatoa Simba mmoja na kifaru wake. Wakati huo mchumbwa ananiona ninavyopasuka. Tukakabidhiwa room then tukachoma ndani.

Kilichotokea ndani sikutegemea. Nikawa nawaza tatizo ni level ya elimu ya huyu demu ama nini.
Amegoma kabisa kutoa mali. Sababu akisema eti "Wanaume siwaamini! Leo unafanya nae, kesho anakutangaza mtaani"
Iliisha hivyo yani, maana nilibembeleza bembeleza na wewe.

Hatukufanya chochote, mpaka tunatoka demu mkavu usoni huku mwanaume nikiwa na ghadhabu moyoni.

Naona nisiendelee kilichotokea njiani. Ila mpaka hapo wakuu, mnanipa ushauri gani?

Nitembee mbele au nirudi kumalizia kiporo changu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana makosa, Mwanaume mwenye malengo na Mwanamke hilo jaribu angelielewa, Huyo binti ana akili kuliko hata wewe, sasa unalalamika nini? Ajakulia hela, amekuja, mbona ni mstaarabu sana?
 
Sasa mbona amekuja na hatujatimiza lengo?

Kitu chengine, kwanini ameacha mpaka mimi nilipe halafu ndani aje kukataa?
 
Hapa ndipo ambapo wanaume tunakosea, ameacha ulipe mkae muongee mfahamiane zaidi, ila wewe wakati unalipa unawaza tu tamaa zako!
 
Sasa tufahamiane nini tena.
Mpaka tunaingia ndani kila mtu amejipanga kwa kazi.

Asa kufahamiana si tungetafutana hata huko mtaani.
 
Yaani hata Ubaharia Chipukizi hatukupi kadi kabisa! Umetuaibisha
Nakuongezea pumbaaaaaavu!

Wengine ni wakuja au wanakuwa na Village mentality, hivyo wanahitaji u- apply ile kanuni ya "By force, by power ".

Au hauna kitabu cha mbinu za chumbani!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tembea kifua mbele, mtoto wa kiume, kazi umeshindwa! [emoji848][emoji848][emoji848]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Eti....Nilipotaka kuanza kukamua tui na kupata majagi kadhaa, dogo akashtuka tena.

Hahahahahaha
Kuna muda nilimpiga vijineno vichache akakaa sawa. Nikafanikiwa kutoa cha juu hadi kumpandisha dogo kiunoni. Nilipotaka kuanza kukamua tui na kupata majagi kadhaa, dogo akashtuka tena. Akarudia msimamo ule ule.
Nilichoka kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa zingine wanaume tuwe smart kwenye gemu na haya mambo. Kuna njia zingine mwanamke anakupa ishara anakupenda ila hataki kukupatia ngoma ila tunakuwaga vipofu wa akili na hufuata majuto.
Kaa tafakari, labda kuna kitu anakuambia.
Kweli kabisa mkuu barafuyamoto. Nimenusurika mara mbili kuukwaa kwa staili hii!

Mungu awape maisha marefu wale mamanzi aisee!

***Mbire mwene Nyamwonyo***
 
Unae mdomo mwembamba mweusi?
😂 Umekaa kimbea mbea itakuwa
Kumbuka demu mwenyewe ni mgeni.

Sababu ya kusema ni kawaida kwa wanawake kuhofia kutangazwa. Sasa kwa kuwa yeye ni mgeni kitaa, anaona kama ikitokea akatangazwa wakati yeye ni mgeni, itakuwa sifa mbaya!
 
Back
Top Bottom