Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 30,132
- 32,647
Basi wenzako nguo anashindia Jumapili home, Jumatatu anaamkia nayo kazini.Hapana sio sahihi. Kwa kazi ninayofanya nguo za kazini ni special kwaajili ya kazi. Mara nyingi Hua nashindia za kawaida.
Sema Jumamosi tunajiachia sana makazini.