Nanunua Account ya Youtube, iliyounganishwa na adsense

kiraza

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
403
Reaction score
581
Habari wadau, Nipo Mbele yenu kwa Jambo moja.

Nahitaji kununua account ya Youtube ambayo ina sifa zifuatazo.

1. Iwe ina Mwaka mmoja au Zaidi tangu ifunguliwe
2.Iwe imeunganishwa na Adsense
3.Isiwe na Strike
4.Iwe na Subscribers kuanzia 1000 na kuendelea.

NB..
kama Adsense Itakuwa Veryfied itakuwa poa sana.
Kwa aliye nayo anaweza kunicheki na nitamlipa Cash kama Account itakuwa Ina vigezo hivyo, Nipo Dar..

Kwa Mwenye Nayo niPM..
 
ulishapata account?
 
Back
Top Bottom