Nanihii yangu inasinyaa na kutanuka

Hali ya uume kuwa mdogo ilikuwa inanifanya nijisikie aibu mbele ya wenzangu kiasi cha kuogopa kuogelea nao pamoja ama mara nyingne kuogelea na chupi na kuivaa ikiwa mbichi. Hali hiyo ilinitesa sana kiasi cha kuogopa kuoa kwani nilidhani mke hatanifurahia.

Mkuu Mimi Si daktari na wala sioni sababu ya Kukwambia Pole kwa Sababu naamini Physically huna tatizo, nahisi tatizo lako la zamani la kutojiamini limeanza kukurudia na hii inaweza kusababishwa na kusoma sana kwenye mitandao juu ya size ya Uume kama inahusika sana katika kumridhisha mwanamama. Ukisoma article za mtandaoni unaweza kukutana na zile ambazo zinazungumza negatively kuhusu uume mfupi sasa kama ukiendekeza sana itakupunguzia hali ya kujiamni. Amini wewe aweza mkuu wangu
 
Pole mkuu kwanza nikupongeze kwa jina hilo la 'mbunduje' lakini pia nikueleze kuwa wax=cha wasiwasi kwani ndio chanzo cha tatizo ulilo nalo kaka
 
Mkuu Mimi Si daktari na wala sioni sababu ya Kukwambia Pole kwa Sababu naamini Physically huna tatizo, nahisi tatizo lako la zamani la kutojiamini limeanza kukurudia na hii inaweza kusababishwa na kusoma sana kwenye mitandao juu ya size ya Uume kama inahusika sana katika kumridhisha mwanamama. Ukisoma article za mtandaoni unaweza kukutana na zile ambazo zinazungumza negatively kuhusu uume mfupi sasa kama ukiendekeza sana itakupunguzia hali ya kujiamni. Amini wewe aweza mkuu wangu

Nashukuru kwa ushauri wako NYU, lakini kumbuka mbunduje yangu inaposisimka huwa inaongezeka, si unene tu bali hata urefu. Ka hiyo kinachonitatiza si ufupi bali ni ile hali ya mbunduje kuwa km ya mtoto na mara nyingine kuwa ya mtu mzima. Na zaidi ni matukio ya hivi karibuni. Kwani hata nikisafiri wiki mbili, siku ikirudi na kufanya huwa nachoka sana kiasi cha kuishiwa nguvu na huwa mvivu kuamka asubuhi kiasi cha kutopenda ku-do siku za kazi kwani naweza uchelewa kazini.
 
Sina uhakika kama wasiwasi inaweza kuwa imechangia, ingawa mwanzo nilikuwa na wasiwasi sana juu ya maumbile yangu. Na si hivyo tu kwani hata korodani zangu si zile za mee. Na hiyo ilinipa hofu sana baada ya jamaa zangu waliokuw wakisoma PCB kuja na mada yao ya p...mbu za kuning'inia kwamba ndizo zenye kizazi kutokana na kuwa hazipati joto la mwili ambao walisema kitaalamu lile joto linaua mbegu. Nilihofu sana na kujionea huruma wani nilitegemea kutengeneza fedha ambazo ninge-njoy na familia.



Je, korodani nazo zikigoma kuning'inia kunatokea kitu gani kiafya ama inakuwa imesababishwa na nini?

Duh! Nami naomba mnisaidie, kuna korodani za aina ngapi? za kuning'inia na zipi tena?
 
Duuuh wanaume tuna kazi kweli kweli.
Dooh
!lakini ndugu yangu mshukuru mungu umepata WAtoto,maana bila hivyo ingekuwa shida kweli kweli.
Kuna jamaa yangu ana similar case,lakini amemkubalia mkewe a enjoy na mtu yeyote yule kwa sababu yeye baada ya yote hayo, sasa inaweza kuacha kama kwa 1 month kabisa ku err. akaamua kuliko kumnyima raha mpenzie bora amruhusu,maana jamaa aliona atamnyima raha na baadae atakuja kujisikia aondoke na mambo mengine ya kiafya. Pole sana mungu abariki upate solution.
 
Habari madaktari wa JF!
Mimi ni mwanamume mwenye mke na watoto, ila kuna tatizo linanisumbua kwa muda mrefu sasa. Ni kwamba tangu nikiwa mdogo nilikuja kugundua kuwa uume wangu una tabia nisiyoielewa. Ikiwa haijasimama inakuwa ndogo sana na kukiwa na baridi ndo kanakuwa kadogo kabisa. wakati inapokuwa imesisimka inaongezeka si urefu tu bali hata unene unakuwa wa kutosha wa kumfanya mwanamke ajisikie vizuri. Hali ya uume kuwa mdogo ilikuwa inanifanya nijisikie aibu mbele ya wenzangu kiasi cha kuogopa kuogelea nao pamoja ama mara nyingne kuogelea na chupi na kuivaa ikiwa mbichi. Hali hiyo ilinitesa sana kiasi cha kuogopa kuoa kwani nilidhani mke hatanifurahia.
Baada ya kuoa mbunduje yangu ilifanya kazi vizuri sana na nilikuwa sichoki kabisa (naweza kwenda round ndefu tatu kwa mfululizo), sometimes nilikuwa naweza kutumia dk 45 kwa round moja kama tumekubaliana nisimalize mpema.
Sasa kinachonipa shida ni kwamba siku hizi nahisi ile mbunduje imebadilika tabia kwani nikipiga bao moja huwa nachoka sana na kujisikia kulala, hapo sirudii mchezo mpaka siku nyingine hata km mwenzangu anataka. Na mara nyingi bao lenyewe linachomoka mapema nisiyotaka( hata dk ya kwanza). Cha kushangaza zaidi ni kwamba misuli ya mbunduje yangu huwa inauma inapokuwa imesimama kwa muda mrefu.

Nimekuja kwenu ili nipate ushauri ni nini cha kufanya ili nipate raha ya tendo la ndoa na pia maumivu yapungue
kwenye mbunduje yangu.
Naomba ushauri.

pole sana kaka kingwipa1.

tatizo lako laweza kusababishwa na mambo mengi sana kama vile diet, mood,stree, uzito uchovu , magonjwa ya kudumu au ya mara kwa mara nk. lakini ninao ushauari mmoja tu kwako, siku ya j3 kama uko hapa dsm basi njoo mitaa ya makuburi hapa external EPZA, mbele utaona TFDA baada fuata hiyo barabara hadi ufike kanisa la lutherani la makuburi ukiwa hapo kanisani upande wa kulia utaona geti jeusi. ingia hapo ni ofisi za NIMR department ya traditional medicine. ukifika nitafute utapata tiba.
 
Kusinyaa wakati wa baridi au wakati hauna wazo lolote la kufanya sex ni jambo la kawaida. Kuuma misuri wakati mzee amepamba moto ni jambo la kawaida maana anahitaji u-download then misuri haiwezi kuuma. Kuhusu pre-enjaculation, kama aliyetangulia kasema, yawezekana ni style ya maisha uliyonayo na mazoea na mwenzako, nikuulize, je ukitoka nje ya ndoa hali inakuwaje?? je, unapiga bao zaidi na zaidi?? nenda taratibu inaonekana hauna tatizo lolote.
Dah,ebwana huu ushauri wako wa kwenda nje ya ndoa umenikuna sana maana wengi wa jamaa ninao wafahamu huwa wanadai ukienda nje perfomance huwa inakuwa excellent ila ukirudi home kaugonjwa kanarudi.
 
Mnawapa wanawake wenye ndoa zao Pressure Jamani. Hizi comment za kutoka nje ya ndoa na kutokuwa na msisimke zinawaua. Msifanye hivyo jamani

Ushauri kwa mtoa Mada! Jaribu kuwaona Madaktari wa saikolojia
 
Back
Top Bottom