Nanihii yangu inasinyaa na kutanuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nanihii yangu inasinyaa na kutanuka

Discussion in 'JF Doctor' started by kingwipa1, Jan 27, 2010.

 1. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Habari madaktari wa JF!
  Mimi ni mwanamume mwenye mke na watoto, ila kuna tatizo linanisumbua kwa muda mrefu sasa. Ni kwamba tangu nikiwa mdogo nilikuja kugundua kuwa uume wangu una tabia nisiyoielewa. Ikiwa haijasimama inakuwa ndogo sana na kukiwa na baridi ndo kanakuwa kadogo kabisa. wakati inapokuwa imesisimka inaongezeka si urefu tu bali hata unene unakuwa wa kutosha wa kumfanya mwanamke ajisikie vizuri. Hali ya uume kuwa mdogo ilikuwa inanifanya nijisikie aibu mbele ya wenzangu kiasi cha kuogopa kuogelea nao pamoja ama mara nyingne kuogelea na chupi na kuivaa ikiwa mbichi. Hali hiyo ilinitesa sana kiasi cha kuogopa kuoa kwani nilidhani mke hatanifurahia.
  Baada ya kuoa mbunduje yangu ilifanya kazi vizuri sana na nilikuwa sichoki kabisa (naweza kwenda round ndefu tatu kwa mfululizo), sometimes nilikuwa naweza kutumia dk 45 kwa round moja kama tumekubaliana nisimalize mpema.
  Sasa kinachonipa shida ni kwamba siku hizi nahisi ile mbunduje imebadilika tabia kwani nikipiga bao moja huwa nachoka sana na kujisikia kulala, hapo sirudii mchezo mpaka siku nyingine hata km mwenzangu anataka. Na mara nyingi bao lenyewe linachomoka mapema nisiyotaka( hata dk ya kwanza). Cha kushangaza zaidi ni kwamba misuli ya mbunduje yangu huwa inauma inapokuwa imesimama kwa muda mrefu.

  Nimekuja kwenu ili nipate ushauri ni nini cha kufanya ili nipate raha ya tendo la ndoa na pia maumivu yapungue kwenye mbunduje yangu.
  Naomba ushauri.
   
 2. Principessa

  Principessa Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole bro...nakushauri umwone daktari specialist na hayo mambo!
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kwa maoni yangu, hiyo expansion na contraction si tatizo kabisa........ila hiyo part two.....inaweza kuwa na uhusiano na aina ya maisha yako au saikolojia zaidi, hasa ukizingatia mya waifu wako umeshamzoea sasa.......!
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ....:D:D
  grow up!
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mbundunje mmmh
   
 6. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  una tatizo la kisaikolojia zaidi. Mwone daktari au mwanasaikolojia atakusaidia. Besides, try new things in your relationship.
   
 7. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Kusinyaa wakati wa baridi au wakati hauna wazo lolote la kufanya sex ni jambo la kawaida. Kuuma misuri wakati mzee amepamba moto ni jambo la kawaida maana anahitaji u-download then misuri haiwezi kuuma. Kuhusu pre-enjaculation, kama aliyetangulia kasema, yawezekana ni style ya maisha uliyonayo na mazoea na mwenzako, nikuulize, je ukitoka nje ya ndoa hali inakuwaje?? je, unapiga bao zaidi na zaidi?? nenda taratibu inaonekana hauna tatizo lolote.
   
 8. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  pole sana...haya wataalamu tunaomba mchango wenu!
   
 9. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
   
 10. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  try new things like what???
   
 11. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Kingwipa1, kwani una umri gani? (range would do kama hutaki kuwa specific!)
   
 12. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  New relationships!

  Mbumbuje zinataka vitu vipya, new flavas!! Kuna wakati jamaa yangu (ameona na watoto 3) alikuja kuniomba ushauri akisema kwamba performance yake on bed imeporomoka sana, akipiga bao moja.. kwinshee kazi, anageuka upande wa pili na kulala!! Nikamshauri (kwa nia njema kabisa) atafute binti nje ya ndoa ili afanye majaribio kama tagonga bao moja na kulala.

  Basi jamaa akafanyia kazi ushauri wangu, baada ya wiki tu akawa kapata kibinti. Baada ya kufanya naye mapenzi, akanifuata na kuniambia kwamba game ilikuwa ni noma, alipiga goli 4 kama Wayne Roon, mtalimbo haukutepeta hata chembe!!

  Mpaka leo jamaa, akitaka game safi..anajua cha kufanya!!

  Mwanaume yoyote ukishamkanyaga binti mara kadhaa, hamu na inakuwa inapungua mpaka inafika wakati mnakuwa kama kaka na dada, hata mkeo akiwa mtupu kabisaa, hautokuwa unasisimka kabisa.

  Ndio maana ukitaka ujibebee mwanamke kirahisi, mtokee mke wa mtu aliye kwenye ndoa for 3 yrs or more, ukimu-entertain kidogo tu, utakuwa unajibebea kiuraini kama scrapper za TRL!!
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hahaha kweli Brooklyn wewe kiboko, sipingani na wewe kabisaaa, hiyo ni kweli kabisa mie nipo kwenye ndoa for 7yrs na najua hii issue, mkishazoeana ule msisimko huwa unakwisha so inahitaji ubunifu, mimi hupenda kupiga naye story za mapenzi, kumsifia sifia sometimes(wanaume wengi hawapendi kuwasifia wake zao) kuhamisha kiwanja kwa mfano on Vacation somewhere mnaenda atleast hata mbezi beach kule Whitesands, vijizawadi zawadi vidogo , hakika anasisimka na kujiona mko bado na yale mapenzi ya mwanzo. Ila sithubutu kutoka nje ya ndoa yangu mkuu, ila kuna dada mmoja alikuwa akinipenda na kunishawishi tubanjue tunda kwa kweli alikuwa akija ofisinikwangu damu inanichemka balaa, kitu kinakwenda hewani si kawaida sikuweza mkubalia lkn siku hizo wife wangu alii enjoy sana maana nilikuwa nikitoka hapo nna joto la nyuzi hundred nikirudi home nnamfanyia mambo kitu roho yake inapenda mpaka akaniuliza mbona unakuwa wa moto sana siku hizi? hahahaha nikamwambia nikikumbuka game yako joto linanipanda hahahahahahahahhaaha
   
 14. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ndugu mtoa maada naunganana wote wasema ni tatizo la kiakili zaidi; yaani kuna wasi wasi ambao tangu utotoni umekuwa ukijijengea; Si vibaya ukazoza na my wife wako kuhusu hilo utashangaa dawa uko nayo hapo hapo! Wala usione aibu kumwuweka wazi!
   
 15. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45

  Kwenye medical issues hautakiwi kumshauri mtu aende nje ya ndoa kama sehemu ya suruhisho kwa tatizo lake labda kama umechukilia kwa uwepesi zaidi ya kutafakari athari ambazo kuna uwezekano wa mhusika kuzipata kwa kutoka nje ya ndoa. Huyo unayemshauri hivyo atarudi tena hapa na kusema kapata matatizo ya kiafya kutokana na nyumba ndogo japo kuna uwezekano ataficha by that time.

  kama ni kuboleka kimahusiano coz mmekaa muda mrefu basi tatizo ni wahusika hamko tayari kurutubisha penzi lenu, unatakiwa kuhakikisha kila siku ni mpya kwako kimahusiano, buni vitu mbalimbali kama ndau mmoja alivyojieleza hapo juu na sio kutoka nje ya ndoa, jamani tunajitahidi kupinga haya mambo coz ni moja kati ya source kubwa ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa hasa ukimwi, pia inarudisha nyuma maendeleo kifamilia, tulieni na familia zenu, endelezeni kile mlichokianza , acheni mawazo hayo ya kurukaruka nje ya ndoa ni hatari, kwa nini mnaoana while hampendani, hamko tayari kuishi pamoja? tafakari kabla ya kutenda.

  Naomba mdau husika ufuate ushauri uliopewa wa kwenda kuwaona madaktari walio karibu nawe watakusaidia, chonde usitoke nje ya ndoa hao watoto wanakuhitaji...
   
 16. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Samahani sana bandugu kwa kwa kutokuw hewani kwa muda na mimi kama mtoa mada nilitakiwa kujibu maswali yenu wachangiaji kila mnaponiuliza ili nipate msaada zaidi.
  Kwa kweli mimi binafsi mke wangu nam-feel sana na kabla ya kumuoa nilikuwa na mahusiano tofauti tofauti, lakini ki-ukweli ni kwamba haikuwahi kutokea nikamfeel mwanamke mwingine kama yeye. Mapenzi yetu huwa yako live, na ninapofanya mapenzi naye a-feel niko na mtu fulani. Suala la saikolojia linawezekana ingawa kimsngi mimi binafsi napingana nalo. Kwani kuna kipindi huwa tunaandaanakwamba leo tutafanya kitu fulani. Uchokzi unaanzia bafuni tukiwa tunaoga mpaka kitandani. Na tunapanga kabisa kwamba kesho sio siku yakazi kwa hiyo tunaweza kulala late. kinachotokea baada ya kuingiza mbunduje tu najikuta dk 5 mamboyalisha haribika na sometimes ili kuvuta muda inabidi wote tusiwe kwenye hisia kitu ambacho zamani hakikuwepo. Sasa hapo nd ninapata hofu.
  Kuna mjumbe mmoja ameulizia suala la umri, mimi ninakimbilia miaka 34 na nina watoto wawili.

  Je, tatizo hili haliwezi kuwa linahusiana na tabia ya mbunduje yangu?
   
 17. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Sina uhakika kama wasiwasi inaweza kuwa imechangia, ingawa mwanzo nilikuwa na wasiwasi sana juu ya maumbile yangu. Na si hivyo tu kwani hata korodani zangu si zile za mee. Na hiyo ilinipa hofu sana baada ya jamaa zangu waliokuw wakisoma PCB kuja na mada yao ya p...mbu za kuning'inia kwamba ndizo zenye kizazi kutokana na kuwa hazipati joto la mwili ambao walisema kitaalamu lile joto linaua mbegu. Nilihofu sana na kujionea huruma wani nilitegemea kutengeneza fedha ambazo ninge-njoy na familia.

  Je, korodani nazo zikigoma kuning'inia kunatokea kitu gani kiafya ama inakuwa imesababishwa na nini?
   
 18. Jenerali QoyoJB

  Jenerali QoyoJB JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kupanuka na kuongezeka urefu sio tatizo ni kawaida kaka ila kupiga bao moja au risasi kutoka ndani ya dakika moja wakati mama bado anahitaji ni hatari kwa baadaye mana mama usipomridhisha vijana watakusaidia mtaani mzee siunajua mama naye ni binadamu anahisia zake kwahiyo kama haridhiki atatafuta nje.
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu una mawili
  la kwanza ni kukosa self esteem hata kabla hujaoa, nani alikwambi dodoma yako ndogo? au nani alikwambia ukubwa wa pua ndio wingi wa kamasi?? cha maana kwanza ni kujikubali uondoe dhana ya kadodoma kadgo

  la pili ndio la maana zaidi, inategemea umri, mahusiano yenu kama yana stress, uchovu wa kazi, presha za watoto, mazingira ya hiyo wembley yenu na hata state yako ya kiafya (uzito, chakula bora au hata mwili kuwa uzee)

  solution
  hilo la kwanza tafuta psychologist

  hilo la pili angalia namna ya kubadili mazingira yote ya mikasi, check diet, exercise, ni bora ufanye mara chache kwa wiki lakini ukiwa na right mood, punguza ugomvi... cha maana zaidi hiyo ndito inadnalie mazingira ya kiutendaji, hata ikibidi anzia ndani ya gari au kwenye stoo kuongeza hashki

  Ukishindwa yote hapo piga elimu mitaani.com
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  acha wasiwasi, hao watoto umepataje na wewe??? dont let yourself down
   
Loading...