ndio maana juu nikasema inategemea unaongea nini, mfano na mimi naweza vutia upande wangu nikaongelea point zangu, for the sake of arguments ngoja niwe upande wa Japan na nielezee kwanini Japan Ni zaidi ya marekani na Nchi nyingi duniani kwenye Technology
1. zamani za kale hawa jamaa wanatumia marobot viwandani, na mpaka sasa kampuni 10 bora zaidi zinazouza marobot ya viwandani karibia zote ni za kijapan kiwe kiwanda ni cha US, China,
Ulaya etc Japan ndio anategemewa atoe Technology za maroboti.
top 10 robotics companies in the world | Robotics & Automation News
nikisema maroboti namaanisha mashine zinazotengeneza vitu viwandani.
2. Transportation system, linapokuja suala la usafiri Japan wapo juu kuanzia meli, treni, magari etc nafikiri hili ni rahisi hakuna haja ya kulizungumzia sana
3. Energy, hakuna Technology bila energy na japan ndio mtengenezaji mkubwa energy. kwa sasa hivi Usa wana kampuni moja tu ya kizawa inayotengeneza vinu vya nyuklia wanawategemea japan wawazalishie energy kampuni kama Hitachi na Toshiba ndio zinatengeneza hizi mambo, achana na nuclear vitu kama
4.vifaa vya nyumbani, anzia majiko, oven, ac, pasi, tv, utakuta vingi vinatoka japan na si USA, japan wana Hoteli automatic zinatambua sura zinajua huyu mtoto nisimuuzie pombe, zinapasha moto au kupatisha baridi
5. silicon silicon silicon
tunajua kwamba chip nyingi ndani ya vifaa vyetu kama processor vinahitaji material yanayoitwa silicon kutengeneza, na jinsi technology inavyopanda inahitajika silicon nzuri zaidi kwa sasa Japan pekee ndie anaeweza kusupply hio silicon hivyo kampuni kama Intel, AMD, Qualcomm na kampuni nyengine za kimarekani hutegemea japan
It Is Japan, Not The U.S., That Leads In Serious Technology, Says Top Reagan Technology Advisor