Mars Rover
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 338
- 140
Siyo kweli, kuna nchi nyingi sana pioneers wa innovation kama vile Finland, Norway, Sweeden, Germany, South Korea na UK. US inasikika masikioni mwa watu wengi kwa sababu ya Hollywood effect, FOX News effect na propagandists wengine weengi wanaoipa Marekani sifa wasizostahili. US ni taifa kubwa lenye shida nyingi sana, umasikini, ukosefu wa maji, uchumi unaokufa na majanga mengine ya kibinadamu.Asimia 80% ya new innovation inaanzia USA ndiyo inaenda sehemu nyingine duniani ikiwemo Japan. USA sio wa kushindanisha na Japan kwenye technology au innovation
Hii ni kama ile dhana ya kuwa US ni nchi tajiri duniani ambayo siyo ukweli.