Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Last edited by a moderator:
Kwani na wewe kuna tofauti Erickb52 kwa kupenda hiyo makitu na wake za watuQUOTE=Erickb52;5000500]Majungu majungu tu....muulize Mungi ile kesi yake imefikia wapi?
Aache kupendapenda makahaba
Mhh hapana hii ni kashfa na nitamuomba loya Ruttashobolwa na Kaizer wasimamie hii keshi
Mungi jiandae kuwasilisha utetezi wako kwa maandishi ndani ya siku kumi na nne
Kwa utetezi wa awali najiwakilisha mwenyewe......................... manake hoja yangu imekaa ki uliza swali.............. mjibu hoja alichotakiwa kufanya ni kujibu ndiyo au hapana
Mungi hii naona utetezi haujitoshelezi na mtoa hoja anaomba mwongozo wa loya kama huu utetezi unakubalika ili hoja ya msingi ijadiliwe
Loya Ruttashobolwa na Kaizer hebu oneni hii hoja ya Mungi kama ina mashiko @
Mungi we bush loya wewe siamini vifungu vyako vya sheria haviaminiki.
Ngoja kwanza Ruttashobolwa aje anitetee. Erickb52 hana cha kujitetea maana ni mzee wa gesh hauz ila mimi napinga kwa nguvu zote
Huoni nimemtisha Erickb52, Ruttashobolwa na mwenzake na ubushloya wangu wamekaa kimyaaaaaa.......... yaani wanaangalia thread kama guest hahaaaaaa!!!!!!!!!
Siku hizi wamegundua inayoitwa Rungu medicated Soap ili wanafunzi waweze kusoma coz haisupport kale kamchezo kao ka bafuniHahaaaa Mkuu ile siyo kesi................. ile inaitwa Isidingo the need.
Hivi ile sabuni wanaita Rexona mbado ipogi?
Heheheee nilikuwa nakagua venue naona iko pouwa na huduma zote zinapatikana....Tatizo wameona vifungu vichache tuu vya evidence hapo wameingia mitini sijui uloya wao wamesomea wapi
Ngoje nifanye ausentisiti wa vyeti vyao maloya Ruttashobolwa na Kaizer na Erickb52