Nani yupo Sky Lounge saa hii.....?

nitake radhi mkuu! Huwezi kunidhalilisha mbele ya my wife!

Hahaaaaaaa Mkuu nimekutaka radhi kwa kuwa upo mbele ya mkeo sweetlady???????!!!!!!!!!
Kuna mtu alisema sijui yupo na marejesho sijalinyaka jina lake
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaaa Mkuu nimekutaka radhi kwa kuwa upo mbele ya mkeo sweetlady???????!!!!!!!!!
Kuna mtu alisema sijui yupo na marejesho sijalinyaka jina lake

mpango wako wa kunivunjia ndoa yangu ushindwe! Pepo m'baya tokaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Ina maana nyie ni invisibles? Mbona sijaona mtu hapa hadi saa hii!

haya mambo ya kuvamia motoko ya watu balaaaa!
 
Ina maana nyie ni invisibles? Mbona sijaona mtu hapa hadi saa hii!

haya mambo ya kuvamia motoko ya watu balaaaa!

mkuu....wewe ndio huyo hapo counter mwenye shati ya draft.....?
 
Hauogopi mgando.

nilikuwa nataka mgando............... Preta ameniudhi kasema sky lounge hakuna gesti........... huku hatugandani manake dah!........... ngoja nikatafute pa kuzishusha
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa nataka mgando............... Preta ameniudhi kasema sky lounge hakuna gesti........... huku hatugandani manake dah!........... ngoja nikatafute pa kuzishusha

wewe sasa....unatafuta walakini.....
 
Last edited by a moderator:
mmeniuzi.....nahama zangu kiwanja.....kwendeni huko.....
 
Nina wasi wasi na wewe leo hicho kidate chako ni cha kupeleka geshi hauz Mungi

halafu zikiwa nyingi zinakera yaani!!!!!!!!! natafuta kumlia timing mwenye mali nikajitafutie strawberry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…