Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Ndio kwanza nashtuka... Jerrymsigwa
Haya kapige zoez sasa upunguze fat
Last edited by a moderator:
Ndio kwanza nashtuka... Jerrymsigwa
Nimeshaula mie...na h.port nshaosha🙄🙄🙄🙄
pole, ila kuna ugali kwenye h.port umeuona?
jamani nimewamiss.mko poa humu ndani?
.nimekuponza nini tena bily.....hapo kwenye bold hongera zako farkhinanisamehe farkhina si huyo Kipaji Halisi ndie anataka kuniponza na chakula chako kilivo kitamu nikikosa ntalia mpaka mwakani
hujachelewa kabisa karibu!!sjui nimechelewa sana
he he he umenikumbusha "KULA DAKU"Huu mlo usiku km daku
Mi niko singo!Ewaaa.... hatua ya kwanza tayari... sasa mbona naskia watu wanajinasibisha na wewe ilhali sijawahi sajili ndoa yako..!?