Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,546
Mi niko singo!
Na hao wana talk talk too much kuhusu wewe...!??
Mi niko singo!
nimefika, tatizo babu leo hajanipa hadithi, niongee nini hapa sasahujachelewa kabisa karibu!!
:lol::lol::lol: mi staki stress!!Angalia msije dhani mnazirusha kumbe mnazitupa..
loh ha ha ha unaongea kile unachokifikiria au unachojisikia kuongea...usichafue hali ya hewa tu....nimefika, tatizo babu leo hajanipa hadithi, niongee nini hapa sasa
lohhhhh watajiju.....watasema mchana usiku watalala halooooooooo!!!!Na hao wana talk talk too much kuhusu wewe...!??
habari wapendwa. mimi usingizi umegoma, ambaye hajalala karibuni kwa stori.
hahahhaa....bahati mbaya leo sijala mayai ya kuchemsha na makandeloh ha ha ha unaongea kile unachokifikiria au unachojisikia kuongea...usichafue hali ya hewa tu....
:lol::lol::lol: mi staki stress!!
ndio umeiweka??
phewww....thank god!!!Ntafukiza udi anyway just incase:dance:hahahhaa....bahati mbaya leo sijala mayai ya kuchemsha na makande
Tenaaa...ongezea na zako!!ndio umeiweka??
udi utaongeza utamu ndani...hahahahahaTenaaa...ongezea na zako!!
Tenaaa...ongezea na zako!!
Mapi nakupa kazi ya uDJ leo tunataka kurusha roho!!!
hahaha...akija huyo ntaona aibu