Halafu jana kwa kuwa nilivaa koti refu na kofia ndio ukajua mie wa kiumeee...
Zile zilikuwa mbinu tu za kiintelijensia ...mie mdada bwana lol Red Giant...leo kama jana...ila nna ahadi ya dompo kutoka kwa Jerrymsigwa...
Halafu leo mie mtandika mkeka na muondoa vyombo baada ya mlo...so itabidi niwe mpole...