mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,426
jana kulikuwa na mgeni @ binamutz anavyojiita ile nimeanza kumwambia habari za wachawi akazimia mazima, Arushaone nae alichungulia sijui @ Ladydoctor alikua wapi!
Valentina leo nipo kwa ajil yakoNa leo sijui watakuepo...leo jamani mduara uwekwe plz,,hizo sabufa zikaguliwe mapema kama zina shda zirekebishwe. Msosi gani leo na mpishi nan?
kwanini ??
Valentina leo nipo kwa ajil yako
ukisikiwa na mwenyewe mie simo
mwenyewe analala kama pono mwache mwenzako afaidi eti Honey Faith au ujui kuwa ana bastola kiunoni..
ukisikiwa na mwenyewe mie simo
Nko gado leo,nasubiri mduara
Shosti taarisha ndoo za maji tuumwagie huu uwanja upungue vumbi....nakwambia juzi miguu ulikua kama wanga meupeeee poda si poda vumbi si vumbi...
Hodiii humu...
Leo mapemaa nimeingia lindoni....
Sitaki tabu na boss mie....
Hamjambo mlionitangualia....