Nani yuko macho tupige stori?

Me ndo kwanza naingia lindo naona pako kimya sana had nahsi majambaz yana ni tym

Tunashkuru walinzi tumeongezeka siku hizi kwanza ilikuwa tabu@Jerrymsigwa haishi kupata wageni farkhina kutwa anasinzia lindoni,huyu mimi49 na valentine wao na simu zao za mchina kutwa vanga,na miduara,bora Jawilat haishi kwenda dukani kwa mpemba
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…