Nani yuko macho tupige stori?

Wewe nawe waniabisha jamaa wamekuja kukagua lindo umelala tu,hii kazi ikiisha utarudi peke yako ikwiriri mimi mjini sihami vooo
Wamekagulia wapi mbona mie nipo sijawaona....au walipita wakati niko bussy na mchiriku
 
Wamekagulia wapi mbona mie nipo sijawaona....au walipita wakati niko bussy na mchiriku

Hiyo simu yako ya mchina mpaka ikiisha chaji ndio utakaa lindoni,simu ina spika 4 ?
 
Tatizo lako wewe huchelewi kusinzia lindoni,

HahAhaaaa jamani mie j2 si nilisasambura hapa mpaka majogoo na chupa yangu ya Dompo...eeeh wapi Jerrymsigwa aje hapa kuthibitisha kauli yangu
 
Last edited by a moderator:
nipo leo bundle inasumbua hahahahahaaa!! mkuu sa8 saivi mi ndio naingia hapa, kuna wenyeji hapa au wanaota?

HahAhaaaa jamani mie j2 si nilisasambura hapa mpaka majogoo na chupa yangu ya Dompo...eeeh wapi Jerrymsigwa aje hapa kuthibitisha kauli yangu
 
habari wapendwa mi natafuta ambao hawa jalala mpaka saizi nitakaye mkuta ajalala ana pigwa tu
 
habari wapendwa mi natafuta ambao hawa jalala mpaka saizi nitakaye mkuta ajalala ana pigwa tu

Utapiga wangapi....hili jeshi humu siyo la mtu mmoja....
Zaidi we jiunge tu kwa usalama wako TEAM popo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…