Hahahaa mitaa yangu hiyo mkuu karibu tena!
Siku hizi kunaendelea vizuri mabasi yapo aisee!
Hakuna barabara isio na kona, vumulia ktumeshapita kona sasa ni streit tu. Namuona mtu mmoja tishio keshafika hapa nani tena hapa tupo wawili tu
Av withdrawn my comment, stay away from madiocre lovers
sawa ila mjamaa ana maverse hatari
sawa ila mjamaa ana maverse hatari
Anacopy na kupaste, usitishwe nae huyo ni karanga tu mie big G 😆
nilikuwa nasali nikajikuta nanena kwa lughaKichina ama?
nilikuwa nasali nikajikuta nanena kwa lugha
mchumba
rove!!!
Weee mie saivi noo na wewe, nasaka mpyaaa! We expensive sana, watu macho kodoo wanakuangalia wewe tu naogopa bastola mie
nawewe chukua mkuki wakwanza wa kwanza tu
Te te teee ❤️ama? Yule jamaa wa usiku mmeshaachana?
..naanza kubadili mawazo..ebu endelea kidogo naeza fikiria idea yako copy n paste diamond & wema 😜
Tuko umeona afadhali uliachia ngazi mahusiano ni machanga but yanamashaka hawaamianiani kabisa jerry anaogopa gharama lollove unasemaje?
Tuko umeona afadhali uliachia ngazi mahusiano ni machanga but yanamashaka hawaamianiani kabisa jerry anaogopa gharama lol
Mi niliona Jerrymsigwa mtaalamu wa kuogelea maji marefu... sasa sijui kawaje tena!!!
Dah kulikuwa na ngoma pale isongole hasa wale madada wa sec waliopanga geto, mnada wa wamalawi jmosi dah ileje!!
Mi niliona Jerrymsigwa mtaalamu wa kuogelea maji marefu... sasa sijui kawaje tena!!!
Mwenzangu mbio za sakafuni
Mwenzangu mbio za sakafuni
Ninii etii?
ileje rahaaaaaaa.........!!!! Japo nikiangalia milima na mabonde nahisi kuzimia!!!!
amu maji marefu umejipangaje kumhudumia
Tunajuana chumbani, hiyo ni siri yetu. Swali jingine please
hehehe mziki uko juu! tupo huku kweny mabanda ya ng'ombe. mwaka jana ulicheki movie gani nzuri niitafute?.Kuna watu hapa kweli? Naona geti liko wazi sioni watu,mziki uko juu. Sijui wameenda wapi hawa
hehehe mziki uko juu! tupo huku kweny mabanda ya ng'ombe. mwaka jana ulicheki movie gani nzuri niitafute?.