Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,364
unataka????
Nini ...?
unataka????
Nini ...?
kuja kujumuika nasi?
Wapi...?..km ni humu ( hii post) Niko daily...!!..
mambo vipi lkn...wazima huko
huku wazima sana tu ingawa nimewamiss aisee nahisi umekuwa mpweke sana pande zile
nakemea pepo la usingizi, nakemea pepo la kukosa bundle na zaidi nakemea pepo la kuishiwa chajii ooohh sakatakaborya! ristokarirwa shinginimamo!! kiemba singano kaseja!! mushishi noita!..................amen!. wote tufumbue macho tuendelee na kuchat.
habari wapendwa. mimi usingizi umegoma, ambaye hajalala karibuni kwa stori.
Mida yetu wadau
mambo vipi mdau.
Mdau kazidiwa keshalala
sijui anachoka sana siku hizi?