Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Last edited by a moderator:
kweli aisee ule mto wa maajabu sana Baba V
Afadhali mmekutana
so sad! muziki ulipenda album gani?
Bahat Bukuku,dunia haina huruma
unanikosh sana ule wimbo wa ahabu. dunia haina huruma na maamuzi zimekaa kama bongo movie!
Vipi huku mbele mpooo
Vipi huku mbele mpooo
Fanya ibada na Mungu wako wewe...wakati mwingine Muumba hukunyima kidogo usingizi walau umkumbuke.
nasubiri hizo stori
tupo na ww huko nyuma kwema?
Kuna miiba tumeshindwa kulala
Mwageni swaga hizo jamani
Nko macho JF Ila kwengine nimelala fo fofofo