Zambavuni
Senior Member
- May 24, 2012
- 118
- 26
habari wapendwa. mimi usingizi umegoma, ambaye hajalala karibuni kwa stori.
Hapo zamani za kale..

Mnasemajee?
aisee leo nimetembelea vijiji vingi hadi kwa yule babu wa daraja la Mungu ni noumer!!!!!!!!! Daaah nikiondoka nitapamis sana...... Keshokutwa narudi Chuga aisee!
Hapo zamani za kale..
Yule babu hayupo daraja la Mungu, pale panaitwa kijungu... some kinda pothole". Pana mauzauza pale balaa. Ulijaribu kufanya vurugu yoyote uone maji yanavyoruka juu..!?

Mmh hizo fix Baba V, kijungu hkn kitu wala nini, wanamagereza siku izi wanaenda kugegedana kule
hahahaa..... We Jerry babu kijungu mbona yupo, nimechukua na video yake pale ila lile daraja pale ina historia ya maajabu sana aisee

Kijungu cha kiwira ama ileje nakomkuna kijungu?

ileje nilishaondoka nikaenda kiwira sasa nipo town Soweto
za usubuh bandugu
nzurii, za wewe?
nzuri ndugu za huko
Kijungu cha kiwira ama ileje nakomkuna kijungu?
Mkuu kijungu cha mto Kiwira aisee, mien nimekulia kule those days na hizo zilikuwa play grounds zangu, pana mambo pale mkuu.
hehehe mziki uko juu! tupo huku kweny mabanda ya ng'ombe. mwaka jana ulicheki movie gani nzuri niitafute?.
so sad! muziki ulipenda album gani?Mwenzng mi sio mpenzi wamovie,
so sad! muziki ulipenda album gani?