Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

E bwana mie mzima, niko kwa safari natokea Mbeya, kulikuwa na project tulikuwa TUNAFANYA na Lady doctor , alitutuma muheshimiwa raisi Arushaone .

Yeah baelezee Asali mie kesho kama kawa ngoja niendelee kusomba mazagazaga kwa wanakijiji, si unajua tena mie huku ni kama malkia wao? Nitapamis Ileje na Kyela
cc: Mwanyasi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom