mie eti usingizi waniita lolHalali mtu hapa mkavuu
hahahahahaha umeamka
mie eti usingizi waniita lol
yaani kila siku ifikapo saa11 waamka unawahi wapi weyendiyo nimeamka.
unaondoka jamani byeKwaheriiii
unaondoka jamani bye
hahaha kweliNgoja niwajibike mume wangu ameamka siunajua cha asubui kina raha
Ngoja niwajibike mume wangu ameamka siunajua cha asubui kina raha
ndo waamka eeeeeeehSwaalaaaa.... Swalaaaaaa... Swalaaaa..... Swali kabla hujaswaliwaa!!!!
Asalam aleikum waungwana!!!
yaani kila siku ifikapo saa11 waamka unawahi wapi weye
Swaalaaaa.... Swalaaaaaa... Swalaaaa..... Swali kabla hujaswaliwaa!!!!
Asalam aleikum waungwana!!!
Sijui nimeskia kwa usahihi...!!!!?
hahahaha uongo bana saa 11leo nimeamka saa 10 bana
karibu kwa storyWaleikum salaam. Umenimiss..!?
Sijui nimeskia kwa usahihi...!!!!?
hahahaha uongo bana saa 11
hahahahaha mie nimekesha na wajanja night offerwakati nilipoamka niliangalia saa?