Nani yuko macho tupige stori?

Mkuu hiyo laki 2 ningelipwa mbona ningeshakuja huko USA? Elfu 75 kwa mwezi nakula,Nina wake 2 mmoja yupo hapa hapa jukwaani anaitwa mimi49 mwingine mama chanja yuko masasi maisha yanakwenda

mkuu umehitimu lini kidato cha nne?
 
Mie nlibaki peke angu hapa hadi saa 12..

Ntakumwagia maji tena yabaridiii

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Mimi mtoto wa kiume wa mwanamke mwenzio naomba unimwagie maji ila yawe ya moto tafadhali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…