Nani yuko macho tupige stori?

Wewe Excell nakuhitaji hapaaa ndio kunakucha sasa uko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha kuzurura mwenzangu weee nshachoka kuwekwa geti kali tena naruka ukuta leo nusra ntoe pua eti nimevaa lisketi langu baada ya kuvaa taiti....lol

utatoka meno shauri yako...sipat picha umetinga hilo litaiti na pencil sket....
 
akhuu mie sio mjenzi ni mlinzi..

bora yako we ni mlinzi wajenzi wa hili taifa wanateseka sana maana mkandarasi mwenyewe hajui kusimamia kazi yake kutwa kushinda kwenye miji ya watu anatuachia ma engineer na ma technician wezi wa simenti.
 
nimeelewa zaidi ya maelezo,naamini ndicho ulichokimaanisha!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…