Nani yuko macho tupige stori?

hahahahaaaaa!!! umelala tena?

hahahahaaaa!!!

braza umefuliaaaaa!!! bro umefuliaa, bro, bro, aisee bro umefulia!!

teh teh! (ts a joke man!)

mambo vp lakin?

Te te teeee haya bwana mi nakuangalia tu
 
Hahahahahaha lol....
Nimerudi hamjambo lakini?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Atujambo,leo apafanyiki lolote apa bila we kutwambi vizuri unaendaga wap kila siku hayo masaa mawili?
 
Atujambo,leo apafanyiki lolote apa bila we kutwambi vizuri unaendaga wap kila siku hayo masaa mawili?

Hahahahaha kuzurura mwenzangu weee nshachoka kuwekwa geti kali tena naruka ukuta leo nusra ntoe pua eti nimevaa lisketi langu baada ya kuvaa taiti....lol
 
Hahahahaha kuzurura mwenzangu weee nshachoka kuwekwa geti kali tena naruka ukuta leo nusra ntoe pua eti nimevaa lisketi langu baada ya kuvaa taiti....lol

Hahahaaaaa...natamani ungetoa tu hiyo pua ili uko kuzurura,kwanza kuzurura gani uko lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…