Nani yuko macho tupige stori?

tulieni niwape stori msitingishike!. kulikuwa na binti mmoja anaitwa farkhina alikuwa anataka kuolewa na wakajitokeza wachumba wawili wanataka kumuoa mmoja anaitwa Ngongoseke na mwingine Jerrymsigwa. binti akawa kwenye dilemma kubwa, amuache nani amchukue nani!?. basi akapata wazo la kuwaandalia msosi (ugali wa muhogo na dagaa wa kigoma). ngongoseke hata nusu ya ugali hakufika akasema ameshiba (@jawilat na Valentina wakasema huyu ndo mwanaume). jerrymsigwa alimaliza ugali wote akataka kula na aliobakiza ngongoseke sema mshenga alimkataza.

sasa farkhina akaulizwa umemchagua nani?. akajibu jerrymsigwa!!. mimi49 akapigwa na butwaa akamuuliza dada unachaguaje mume mrafi?. farkhina akamwambia, huyo unaemwita mmrafi atafanya kazi kwa bidii kuleta chakula nyumbani sababu atahitaji kula sana ila huyo sharobaro atakuwa ananilisha mahindi ya kuchoma na juisi ya ukwaju. kusikia hivyo mi na Nambe tukabaki midomo waaazi kwa busara za farkhina.
 
Last edited by a moderator:

Ahahahaha bonge la storiiii....lol
 
Last edited by a moderator:

Duuh..nimekukubali,we ni nomaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Ngoja nitafte miwani kwanza naona hii comment inasifiwa tu
 
Last edited by a moderator:

Hadithi inatufundisha Nini vilee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…