Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Wewe umeanza mambo yako eeh
farkhina hizi shkamoo bwana sio nzuri
Vipi tena? Umeanza kuota mvi?
Mgeni kaongezeka
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Tutawapikia ugali na mayai ..shauri yako
Unataka nikose totoz bwana ntaogopwa😆😆😆😆😆
Unazurura tu...huoni kuwa huo ni uzembe na uzururaji?😱
ila si nazurura ndani kwangu..
Hukosi bhana wee tena ndio ntawafanya mashosti zangu ili upate wengi lol..
Mmmmh mie leo nimeshiba sambusa na urojo hapa nyie kuleni tu ugari mayai ya kuchemsha lol
Haya za tangu mda ule..
Toka nimebadili avatar naona pm inaanza kupata ujumbe..hehehheeh it works@Farkhina
nzuri za kwako?
farkhina naomba picha yako nibadilii avatar nipate Pm na mie..
Tutawapikia ugali na mayai ..shauri yako
Unataka nikose totoz bwana ntaogopwa😆😆😆😆😆
toka jana naona vyakula vya ajabu khaaa!
Na kwel mana hamshindwi nyie!!