Nani yuko macho tupige stori?

Heee kumbe? Basi ukimix na kupika hope ni powa sana yani kama bila kupika ni vile hahahhaaha basi naungana na amu kuusifia though sjawahi onja wa hivyo

wee si ulikua unatafuta mzuka wa kula maharagwe ya Mazengo??
 
Last edited by a moderator:
Heee kumbe? Basi ukimix na kupika hope ni powa sana yani kama bila kupika ni vile hahahhaaha basi naungana na amu kuusifia though sjawahi onja wa hivyo

nimecheka hapa huo wakwenu wa kuchanganya na maji tu.
Jamani shule tumekula vitu vingi sana nakumbuka na mie shule nilikuwa nakula maboronganya ya kuponda ponda yamechemshwa mabayaaa،
watu nuo mlenda mtamu sana i wish siku uwepo bibi yangu akupikie as yeye mgogo haswa unakuwa mtamu balaa.
Cc Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Lakini kwani vinatofauti na bamia? Si ndio mlenda wa kimjini kwa akina farkhina
 
Last edited by a moderator:

We acha tu, shule za boding hasa zile za serikali ndio tumekoma sana. Kipindi Mwigu ndio hp wetu anasimama pale mlangoni tunajipanga midume 1000 aiseee we acha bana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…