Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Hizi ndoa hasa za mnazoita za dot com ni balaaa. Hakuna kitu kibaya katika ndoa kama una hawara akajulikana kwa mwenzi wako. Maokeo yake ni kuharibu kila kitu mlichokisotea kwa miaka, say mipango ya pamoja ya maendeleo, malezi kwa watoto, mapenzi, uainifu, you name all. Mwisho wake kama suluhu haitapatikana mapema jua kuwa akina mama ni wajanza sana na watajitahadharisha kwa mengi ikiwemo kuwa na secret developmemts (assets- liquid and material). Kama mlikuwa hamjajenga hata kibanda ujue ni hatari zaidi. I.e Dwarf developement is the outcome!!!! Ukioa kwa kumaanisha basi utabaki na mke/mume mmoja hadi umauti utakapowatenganisha, na inawezekana. Vijana mnaoa/olewa amua kwa ridhaa yako na achana na mahusiano ya zamani kabisa na utadumu katika ndoa mpaka jubilee zote muhimu, 25, 50, 75 ....etc!!!