Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,150
- 137,125
Fakoff uvumilivu my foot
I agree with you! Uvumilivu my ass. Haya mambo ya marriage yameshapitwa na wakati. Yeah, ni vizuri kuwa na companionship but shit..that doesn't mean that you have to put up with someone's BS.
Imagine being hooked with someone for life. It's frightening. Katika zama hizi mimi naona haifai kuoa au kuolewa kwa sababu chances are greater mtafikia mahali mtaanza kuibiana na kuumizana. Sasa yote hayo ya nini?