Walioanzisha utaratibu wa kutoa mikopo kwa wanafunzi hasa wale wenye kipato cha chini hawakukurupuka kijana. Wala lengo halikuwa kuwafanya wazazi wetu kubweteka km unavodai.shule kama feza ada yao si chini ya milion 5 na mtu kasoma pale kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita lakini mtu huyo huyo eti akifika chuo naye analilia mkopo ,sasa kama sio kudeka huku kitu gan? Kwa maana utakuta ada za vyuo vingi avizidi mil 3 sasa kama alliweza kulipa zaidi ya mil 5 atashindwaje kulipa ada ambayo ni chini ya mil 3?
Pengine ni mawazo yako ndiyo, huenda hujaona implication ya heslb kwako binafsi. Lkn hiki c kigezo cha kugeneralize kuwa watu wasikopeshwe!
Watu wanafikiria uwezekano wa kuongeza wasomi kwa kuifanya elimu kutolipiwa ikiwezekana had elimu ya juu ww unasema hata fursa ya kukopeshwa isiwepo!!
Ukifanikiwa mwombee na jirani yako afanikiwe pia.......