Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,768
- 35,717
Hii kitu inanchanganya pia inanichekesha sana, eti mtu amesomeshwa kuanzia chekechea mpaka six kwa pesa za mzazi wake ila mtu hilohuyo huyo amekifika chuo analazimisha apewe mkopo ,sasa suala la kujiuliza ikiwa mzazi wako amemudu kulipa ada na makolokocho mengine tangu upo chekechea mpaka unafika six sasa atashindwaje kuendelea kukulipia ukifika ngazi ya chuo?
Tena utakuta mtu mwingine ametoka shule kama feza alafu bado analilia mkopo hii inaingia akilini kweli?
Hapa suala sio kuilaumu serikali walaumuni wazazi wenu kwa kutojiangaisha kutafuta pesa na kuwawekea misingi imara kwenye suala elimu
Mzazi makini ni yule anayemfungulia mtoto wake account angali mdogo ili imsaidie huko mbeleni mambo ya kiyumba lakini kwa TZ hii ni wachache wenye akili hiyo
Mwisho kabisa napenda kuishauri serikali ifute kabisa kipaumbele cha mikopo, kwa maana imeandikwa asiye fanya kazi na asile
Nchi za wenzetu huu upuuzi haupo kabisa na ndio unaochangia kwa kiasi kikubwa watu kutojiangaisha kutafuta pesa ya kusomesha watoto kwa kutegemea mikopo kutoka serikalini