Yeah! kuna jamaa walienda kuomba kazi boss akasema sasa tunawapa kipaumbele watu 10 walio wahi mapema, akateua jamaa mmoja wa kwanza kuwahi aandike majina yeye hakujiandika ikawa imeenda hiyo!Na wewe umejiweka
Haya mkuu
Sasa mbona hii scenario ungesubiri kutajwa tu, au unahisi itakuwa ngumu😁Yeah! kuna jamaa walienda kuomba kazi boss akasema sasa tunawapa kipaumbele watu 10 walio wahi mapema, akateua jamaa mmoja wa kwanza kuwahi aandike majina yeye hakujiandika ikawa imeenda hiyo!
Nitarudi baadae ngoja nipate health break!Sasa mbona hii scenario ungesubiri kutaja tu, au unahisi itakuwa ngumu
what is manner?Mzaha huu sasa.. Kwanza umeandika kimasihara.. Hold your manners pls
We taja acha kupuyanga. Pesa this pesa that!
eiishhhhh utoto upo wapi mi nimeuliza nieleweshweKalale ukue sasa. Maana unaleta utoto
That's not the case, infact great thinkers are natural born. Na kingine what one thinks is a reflection of his/her value na hata kama hajafikia ukubwa ule, it's a matter of timeMkuu great thinker anapimwa kwa pesa na sio maandiko unayoandika
Kwakuwa kuandika pekee haitoshi kuitwa great thinker lazima tuone ubora kumiliki pesa