Nani unamu-admire hapa JF?

Nani unamu-admire hapa JF?

Wanawake wa Kitanga jau sana, Kuna kipindi walikuwa wanaingia Zanzibar kupitia kule Nungwi kwa kutumia majahazi aisee waliteka Waume za watu wale Wavuvi unakuta Mtu kavua samaki la kilo hata 100 anaenda kuuza kwenye mahotel ya Watalii anaenda kupumzika kwa Majimama ya Kitanga Wiki mbili nguo hazikauki na anaogeshwa na anabebwa mgongoni. Alafu huyo mvuvi ana familia na familia inakufa njaa Yeye anakuwa ametekwa na Mwanamke wa Kitanga.
Hawafai wale Viumbe

Wanawake wa Nungwi wakaenda kulalamika kwa makamu wa rais kuwa wanawake wa Kitanga wafukuzwe wanawaharibia ndoa zao
 
Hawa apa
Dr Lizzy
Mshana Jr
Pretty
AshaDii
Amyner
sweetlady
Rose1980
JS
DaMie
Mrembo
Depal
Evelyn Salt
Manyanza
Kalpana
Jadda
Nyani Ngabu
cocochanel
Maxence Melo
Husninyo
Grahams
Tresor Mandala

Niongeza ni To yeye na mshamba_hachekwi , Raine Col , ephen_ Leejay49 , Selikavu
Ukiona haupo ujue unadaiwa Afu 3 na ukikosa kwenye list ya baadae ujue wewe ni ombaomba
Hawa ndio ninaowakubali sana humu ndani since 2011 hapo baadae ntaongeza list nyingine ya Gen v
Asante ndugu yangu wa Wazee wa kupeleka Motoo!💚💛🔥
 
5 and a half! 😆😆
Wow!

You were a baby….still wet behind the ears. Not even in first grade. Just a kindergartener 🤣.

But look at you now. Flying high, with a PhD. in tow 😉.

Btw, where did you obtain your PhD from? Uppsala University? [only the OGs would know about this].
 
Siku ukipita pande hizi usihofu pa kufikia. Executive room ni ya kwako 😉😀.

Free WiFi, complimentary breakfast, spa, very cordial and professional staff, and for good measure, the real Nzagamba is on speed dial 🤣.

View attachment 2940578
What an offer!😀

Sema sasa kuna mawili...
I might be falling into a goldmine or a trap. Let me mull it over before I hop on the next Happy Nation . 😁

PS
Wale ng'ombe wako bado unao au ushauza wote??
 
What an offer!😀

Sema sasa kuna mawili...
I might be falling into a goldmine or a trap. Let me mull it over before I hop on the next Happy Nation . 😁

PS
Wale ng'ombe wako bado unao au ushauza wote??
Ninao ila wamebaki wachache. Kuna kipindi niliwauza ndo nikapata mtaji wa kujengea Nzagamba Ya Migato Guest House.

Nimebakiza wanne tu sasa hivi.

IMG_6150.jpeg
 
Back
Top Bottom