Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,375
- 80,240
Apo kwa gwajima naunga mkono hojaMimi Niko kwenye mawaziri.
Nampenda Sana Dk Gwajima, sio kwa shepu yake Bali kwa mbwembwe zake na utendaji wake wa kazi.
Jamani simpendi Jenista, hajawahi kunikosea Ila Basi tu, nikimuona mu tiivii nabadilisha chaneli mpaka aondoke. Mwingine nisiyempenda Ni Nape na mwenezi. Hawajanikosea sema damu zetu haziendani.