Nani unamu-admire hapa JF?

Nani unamu-admire hapa JF?

Wow!

You were a baby….still wet behind the ears. Not even in first grade. Just a kindergartener 🤣.

But look at you now. Flying high, with a PhD. in tow 😉.

Btw, where did you obtain your PhD from? Uppsala University? [only the OGs would know about this].
😂😂😂😂😂

That's why I had a 'daddy in the house, and he always came through! 😉

Well, you got me there!😁😁
Let's just say, that information is classified, aight. But hey, honors graduate right here!✋🏾😉
 
Ahahah..Baada ya ku logout na kulogin tena au sio? 😂.
Huyo kijana ni mdogo angu sana. Tumekua tukiyajenga mambo mengi sana nje ya hapa for over 5 years now
Nitaamini vipi akati joined yako 2023 miakq 5 imetoka wapi!?😂
Akikujibu unitag sababu unayemuadmire wewe kumbe na yeye anamuadmire mwingine!
GG ni chache sana.
 
Ahahahah.. sasa ephen_ mbona unakua kama mgeni wa huu msitu mnene mdogo angu?😂😂.
mimi kila baada ya 1 year na come up with identity, ona sasa nimekutobolea siri 😅.
Hata hii ndio inaelekea ku expire ikifika April, not anywhere to be seen
 
Aiseeee! Kwahiyo id ya zamani unaitelekeza au unaenda nazo zote?
Na mimi nataka unifundishe huo ujanja ili niende sambamba😂
 
Ahahaha, id za mishughuliko kama hiz ambazo mara umetukana mtubmara umezingua hiv mara vile kama hii, hiz huwa nazi abandon kabisaa so nafungua mpya ambayo validity yake ni 1 year.
mbali na hii na maintain zingine 2 ambazo hata iweje siwez ziacha kwasababu zina shughul mahsusi kabisa

  • ya kwanza ni kwa ajili ya biashara ambako huko hata contacts zangu ziko. Hii inaongelea kazi/biashara tu .ni mwendo wa service adverts tu.
  • ya pili ni kwa ajili ya mambo ya msingi, kuomba ushauri serious na ku seek out connections.
maana huwez omba ushauri serious au mawazo mbadala yanayohus mustakabali wa maisha yako halisi kwa kutumia Id hii ambayo mara umeshabikia misambwanda, mara umetoa shuhuda za kula kimasikhara, mara umekula mke wa mtu n.k

Wana JF badala ya kukushauri wanakufukulia makaburi yako ,uzi unaharibika 😂😂😂
 
Daaah!😂 na kila id ina demu wake
Mimi siwezi hizo mambo za multiple... naweza changanya mafile

Kuanzia sasa nitaanza kua makini na id zinazoweka namba za simu sanasana zinazohusu mambo ya teknologia za wazungu.
 
Hapana, huwa si mix ishu za ma manzi, na enjoy kuwa hiv zaid. Ujue ukiwa na demu humu hauwi huru😂😂
 
Back
Top Bottom