Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,664
Mimi nakupendaNakuadmire.
Mimi nakupendaNakuadmire.
Nakupenda kinoma!Mimi nakupenda
Thanks mchumba 🌹Nakupenda kinoma!
Jamani 🤣🤣🤣🤣Ninao Wa admire humu
1. Elton Tonny
2. Dr Lizzy
3. Intelligent businessman
4. Captain Marvelous
5. BIN NUN
6. Joannah
7. The MoNA
8. Greatest Of All Time
9. To yeye
10. Mshana Jr
Special:
Aaliyyah , Leejay49
and Evelyn Salt 📌😊
Kama haumo kwenye hii list nenda kaoge maji ya bahari njia panda ya Kijitonyama/Mwenge/Makumbusho/Rose Garden. 😂😂😂😂
Looh 😅Ehhh! Watoto wameruhusiwa kucheza sebuleni.
Nzaghamba sha mighato🤣🤣🤣Mshaanza wenye nzagamba zenu.
Mwalimu wangu alinifundisha Wabheja na Nzaghamba tu. Hayo mengine siyajui.
Hapa nilipo najiangalia maana nahisi umeniita ng'ombe mwenye kwato.😁
Ntakuja huko kwenu kuchukua mmoja!🙂View attachment 2940369
Hii ndio Nzaghamba Sasa 😂😂😂
Kama Wewe ni mweupee utachukua zaidi ya mmoja ? Muulize Nyani NgabuNtakuja huko kwenu kuchukua mmoja!🙂
Kwa Niaba ya the last generation z, we will sue you madam😄🤓Ehhh! Watoto wameruhusiwa kucheza sebuleni.
Mmesha rogwa na Ngozi nyeupe 😄🤣Kama Wewe ni mweupee utachukua zaidi ya mmoja ? Muulize Nyani Ngabu
Aisee ngozi nyeupe Mimi hata siikubali sijui ni kwa sababu nilizaliwa Kusini ? 😂😂😂Mmesha rogwa na Ngozi nyeupe 😄🤣
Heshima kubwa sana kwako Mkuu @Vicenzo JrHawa apa
Dr Lizzy
Pretty
ASHADii
Amyner
sweetlady
Rose1980
JS
DaMie
Mrembo
Depal
Evelyn Salt
Manyanza
Kalpana
Jadda
Nyani Ngabu
cocochanel
Maxence Melo
Husninyo
Hawa ndio ninaowakubali sana humu ndani since 2011 hapo baadae ntaongeza list nyingine ya Gen v