Mkongwe huyo salute nyingi sana kwake
Ukioa kule Wewe hufanyi kazi , kazi yako ni kula tunda tu. Mkeo anapika maandazi na kuuza Wewe umekaa pembeni na msuli na vesti kwenye kiti umekunja nne tu. Maisha mabovu sana yaleKaka Mwaka Jana, nilikuwa mtaa wa barabara ya 15 kule.
Aisee ili Baki kidogo tu, wangekuta Nisha oa kule😂, maana chakula kizuri na ndo ugonjwa wangu🤣
Kaka namleta huku , Kuna manzi ya tanga sema kaolewa 🤓.Ukioa kule Wewe hufanyi kazi , kazi yako ni kula tunda tu. Mkeo anapika maandazi na kuuza Wewe umekaa pembeni na msuli na vesti kwenye kiti umekunja nne tu. Maisha mabovu sana yale
Sema hili ni kweli, niliona Sana kule🤣.Ukioa kule Wewe hufanyi kazi , kazi yako ni kula tunda tu. Mkeo anapika maandazi na kuuza Wewe umekaa pembeni na msuli na vesti kwenye kiti umekunja nne tu. Maisha mabovu sana yale
Utakuwa masikini wa kutupiwa aisee hata kazi utakuwa haufanyi, muda wote demu ako na Kanga Moko 🤣🤣🤣Kaka namleta huku , Kuna manzi ya tanga sema kaolewa 🤓.
Aisee ili tokea ghafla Sana, ila kwa idhini ya mola tuta oa kule,🤒
Kwa kupika wale hawajambo aisee, lakini hata Wewe kibachela mapishi unaangalia YouTube tu. Unatoa msosi wa Kibaharia 😂😂😂Sema hili ni kweli, niliona Sana kule🤣.
Kuna sehemu nilikuwa naenda kula, wAna pika balaa.
kaka nitaoa nikiji pata🤓🤣, mpk Forbes au inside Africa wani mention🤣Utakuwa masikini wa kutupiwa aisee hata kazi utakuwa haufanyi, muda wote demu ako na Kanga Moko 🤣🤣🤣
Supu ya samaki, wali kupaka, samaki wa kuchoma aisee Nita oa tanga🤓🤣Kwa kupika wale hawajambo aisee, lakini hata Wewe kibachela mapishi unaangalia YouTube tu. Unatoa msosi wa Kibaharia 😂😂😂
Utakuwa na kitambi mpaka utakuwa unakibeba kwenye toroli 🤣🤣🤣Supu ya samaki, wali kupaka, samaki wa kuchoma aisee Nita oa tanga🤓🤣
Kaka wale ni balaa🤓🤣, ila Kuna viumbe wame tulia na Wana faa kwa kula🤓Wanawake wa Kitanga jau sana, Kuna kipindi walikuwa wanaingia Zanzibar kupitia kule Nungwi kwa kutumia majahazi aisee waliteka Waume za watu wale Wavuvi unakuta Mtu kavua samaki la kilo hata 100 anaenda kuuza kwenye mahotel ya Watalii anaenda kupumzika kwa Majimama ya Kitanga Wiki mbili nguo hazikauki na anaogeshwa na anabebwa mgongoni. Alafu huyo mvuvi ana familia na familia inakufa njaa Yeye anakuwa ametekwa na Mwanamke wa Kitanga.
Hawafai wale Viumbe 😂😂😂
Moja kati ya starehe zangu ni kula🤣, i spend gud kwenye kula🤣.Utakuwa na kitambo mpaka utakuwa unakibeba kwenye toroli 🤣🤣🤣
Huyo sio mzima 😂😁Una uhakika gani? What if unajishtukia tu mwenyewe?
Si ndio hapo sasa 😂😁Na amejuaje wamegeuka haters 🤣🤣
😂😂😂😁😁😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naunga mkono hoja dada yangu 😂😁Kheeee nitamuita Active
Unaleta mada za selfika
Akulambe kichwa
Siku ukipita pande hizi usihofu pa kufikia. Executive room ni ya kwako 😉😀.Mshaanza wenye nzagamba zenu.