Nani unamu-admire hapa JF?

Nani unamu-admire hapa JF?

Sasa huyo ni mtani wangu sana sema tu akashindwa kunijua mpaka baada ya kubadil chaka ndio maana huwa namtania sana 😂😂.but Is a gud person
Ukibadili chaka hutoniona sababu nakuaga mgumu kwa 'member' 'senio member' na watu waliojoin '23 '24 kuendelea

Najua tu ni kanzu mpya hii maybe siku tushawahi kukwazana anataka kulipa kisasi😂
 
Ukibadili chaka hutoniona sababu nakuaga mgumu kwa 'member' 'senio member' na watu waliojoin '23 '24 kuendelea

Najua tu ni kanzu mpya hii maybe siku tushawahi kukwazana anataka kulipa kisasi😂
Huwa napandia ngazi kwa nyuzi zile ambazo hazibagu mpaka niwe expert ndio watu kama nyie tunaanzana hapo😂😂
 
Siku ukipita pande hizi usihofu pa kufikia. Executive room ni ya kwako 😉😀.

Free WiFi, complimentary breakfast, spa, very cordial and professional staff, and for good measure, the real Nzagamba is on speed dial 🤣, should you need his assistance.

View attachment 2940578
Umenirudisha home Ong'wise nenda pale SIMA ukale ugali na Maboboto 🤣🤣🤣
 
Hawa apa
Dr Lizzy
Mshana Jr
Pretty
AshaDii
Amyner
sweetlady
Rose1980
JS
DaMie
Mrembo
Depal
Evelyn Salt
Manyanza
Kalpana
Jadda
Nyani Ngabu
cocochanel
Maxence Melo
Husninyo
Grahams
Tresor Mandala

Niongeza ni To yeye na mshamba_hachekwi , Raine Col , ephen_ Leejay49 , Selikavu
Ukiona haupo ujue unadaiwa Afu 3 na ukikosa kwenye list ya baadae ujue wewe ni ombaomba
Hawa ndio ninaowakubali sana humu ndani since 2011 hapo baadae ntaongeza list nyingine ya Gen v
Nilidhani Wazee tumetengwa 🤗

Barikiwa sana 🙏
 
Back
Top Bottom