Nani unamu-admire hapa JF?

Nani unamu-admire hapa JF?

Huyo simgusi nimegoma... (asante nimekujua lakini...)... naona nihame topic
vipi research inaendelea vipi... wasamaria wema wale 6, umepata??

Bado bana! Observer inabidi utie kibega! adhawaizi research itafeli njiani ( acha namimi nihame topic). Mimi list ya ninaowapenda nitairusha live cloud FM. stay tuned. Halaf watatangaziwa kama matokeo ya mtihani wa kidato cha nne vile.
 
Naona hapa ni uchakachuzi kwenda mbele mwanawane.......
jamani tupige vita uchakachuaji.........................lol.............

BTW: Hivi huu uzi unazungumzia nini vile?
 
hahahahah.... sina wasi wasi kua nimo.. you know why? Am holding all the cards....lol... ngoja nitoke hapa Choice FM nihamie hapo clouds, i just hope kibonde leo hayupo pindi, i can't stand him.
 
Naona hapa ni uchakachuzi kwenda mbele mwanawane.......
jamani tupige vita uchakachuaji.........................lol.............

BTW: Hivi huu uzi unazungumzia nini vile?

lol...........lol..........lol.....

Bacha huu uzi ulianza kuchakachuliwa toka page two, list ni Lizzy (mwenyewe, Nyani Ngabu,......the list goes on)
Enways unataka kuniambia bado hujataja uwapendao hapa JF....lol
 
Naona hapa ni uchakachuzi kwenda mbele mwanawane.......
jamani tupige vita uchakachuaji.........................lol.............

BTW: Hivi huu uzi unazungumzia nini vile?
hehe Kamanda. Sisi wengine hatutaji bana tunaonesha kwa vitendo. Hivi baada ya kuangalia nilivyoongea na Asha D ipo haja ya kukwambia kwamba nampenda au namchukia? , mwalim wangu wa Chemistry aliniambia laboratory practical speak louder than classroom theory, namshukuru sana japo nilipata F ya kemistri
 
Wachakachuaji wote siwapendi...Hata mkikasirika sijali maana uchakachuaji ni kosa la jinai kwenye kitabu changu hivyo naomba mbadilike!!Kuhusu mimi kua mshiriki NAKANA kwa herufi kubwa....kuna mtu nilimwazima ID yangu aangalie picha kule kwenye picha sasa naona ishakua tabu!!

Asanteni!!

PS Kloro cafe ya mjomba wangu kwahiyo siwezi ishiwa!!!
 
lol...........lol..........lol.....

Bacha huu uzi ulianza kuchakachuliwa toka page two, list ni Lizzy (mwenyewe, Nyani Ngabu,......the list goes on)
Enways unataka kuniambia bado hujataja uwapendao hapa JF....lol

Bacha hana uchoyo,
anawapenda nyote,
Mungu awabariki lol....!!!!
Ila msichakachue sana uzi,
Mungu hapendi!!!!!!!!
 
hehe Kamanda. Sisi wengine hatutaji bana tunaonesha kwa vitendo. Hivi baada ya kuangalia nilivyoongea na Asha D ipo haja ya kukwambia kwamba nampenda au namchukia? , mwalim wangu wa Chemistry aliniambia laboratory practical speak louder than classroom theory, namshukuru sana japo nilipata F ya kemistri

Asante kwa Kutuhabarisha hilo ila;
WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
 
Wachakachuaji wote siwapendi...Hata mkikasirika sijali maana uchakachuaji ni kosa la jinai kwenye kitabu changu hivyo naomba mbadilike!!Kuhusu mimi kua mshiriki NAKANA kwa herufi kubwa....kuna mtu nilimwazima ID yangu aangalie picha kule kwenye picha sasa naona ishakua tabu!!

Asanteni!!

PS Kloro cafe ya mjomba wangu kwahiyo siwezi ishiwa!!!

Partner Lizzy nakubaliana nawe 100% THANK GOD mimi nawewe sio wachakachuaji....
 
Masikio nishasafisha!!

Wanna be the one to use 'em??You can take my place!!:dance:

I know it‘s that good...the offer still stands though!

Tayari...nasikia ukipumua!!!

Acha umbea.....

tena hapa nimeanza page ya 15, ukibisha zaidi nitaenda kuchimbua mboga tangu page ya pili

Wachakachuaji wote siwapendi...Hata mkikasirika sijali maana uchakachuaji ni kosa la jinai kwenye kitabu changu hivyo naomba mbadilike!!Kuhusu mimi kua mshiriki NAKANA kwa herufi kubwa....kuna mtu nilimwazima ID yangu aangalie picha kule kwenye picha sasa naona ishakua tabu!!

Asanteni!!

PS Kloro cafe ya mjomba wangu kwahiyo siwezi ishiwa!!!
 
So far ninawa-admire members wote wa JF. Bado sijakutana na anayeniboa. Of course, wako ambao tunatofautiana kimawazo na kifikra, but that is part of our lives. Binadamu wote sio sawa na hatuko perfect. Pia bila tofauti zetu JF, isingekuwa hapa ilipo. Nafikiri badala ya disapprove of, kuwa disgusted with or kutompenda mtu kwa mambo anayofanya, tupendane kama wanaJF. Kama kwenye article moja iliyowekwa na Mwanakijiji hapa kutoka huko Kenya inavyosema: "While in Kenya community forums are divided in party and ethnic affiliations and mostly you will find major part of communications in vernacular, in Tanzania [JF] they are united in purpose. Kwa hiyo nadhani tuzingatie hili zaidi kwa manufaa ya taifa letu.

Baada ya kusema hayo, wapo wadau wengi sana ninaowa-admire. Kuwataja hapa wote would be like fighting a loosing battle. Kwanza kabisa ninawa-admire waanzilishi wa JF na wale wote waliokaa chini kufikiria hii idea. Sio kazi rahisi kuendesha forum kama hii. Inahitaji commitment, motivation and dedication. We will be indebted to Max and his Cos for the rest of our lives. What they have done is incredible. Labda cha kufanya ni kuwa-motivate na kuwa-support kadiri ya uwezo wetu. JF is starting having an impact in the lives of many Tanzanians. JF is "giving government sleepless night": The Tanzanian Online Community Forum Giving the Government Sleepless Nights | Tech Mtaa

Pili nina-wadmire moderators na Invincible kwa kazi wanayoifanya. Wanafanya kazi ngumu sana ambayo mara kwa mara tunakwaruzana nao. Ni vigumu kuwaridhisha members wote lakini naamini kabisa kuwa wanamoderate JF kwa faida yetu sote.

Tatu, ninawa-admire watu walionishawishi nijiunge na JF mwaka jana. Kabla ya hapo nilikuwa nasoma tuu posts za watu bila kuchangia. Moja ya watu walioni-influence kujiunga na JF ni Kiranga. To be honest, I like his posts. He analyses issue by looking on both sides of the coins. Ana tendency ya kuchangia only in threads where there is an issue to discuss. So, you won't see him ni many threads. Probably, I will say he is one of the most underrated member at JF. Pia ninapenda kusoma threads and posts za Mwanakijiji na kabla ya ku-reply posts zake inabidi nizisome kama mara tatu hivi. He makes me think out of the box.

Nne, ninawa-admire wale wanaotumia majina yako kamili. Wapo ambao tayari wanajulikana na jamii, so kutumia ID tofauti hai-make change. Lakini pia wapo ambao they don't hold positions in the society but they have the courage of using their real names. Nina-wadmire sana hawa watu bearing in mind that JF is a place where were dare to talk openly. Mmeona juzi tuu jinsi watu walivyomtenda Max japokuwa ni JF founder. Credit ziwaendee Mohamed Shosi na wengine.

Tano, kuna watu wengi sana wanaonivutia kwenye posts zao na it is impossible to mention all of them here. Nina-waadmire sana Michelle, Dena Amsi na Lizzy. I like the way wanavyo-defend their point of of view. Pia Michelle huwa anatoa ushauri mzuri sana kwenye jukwaa la MMU. Ananifanya nimkumbuke sana shangazi yangu mmoja. Dena Amsi nakumbuka sana ile PM yako nilipojiunga na JF na kuuliza tofauti kati Premier member na Expert Member. Maana kwa zile replies nilizopata toka kwa wadau labda nisingekuwa hapa. Lizzy, you must be an incredible woman to even dare to start this thread.

Ninawa-admire PakaJimmy, Rose1980, Mwanajamiione, Afrodenzi, Gaga, Rev Fr Masanilo (you're economic kwenye posts zako), Saint Ivuga, Katavi, Tamno, Allien (respect mkuu), Pasco, Husninyo, NILHAM RASHED, Bujibuji, BelindaJacob, First Lady1, CPU, Steve Dii, Klorokwin na ndugu yake Aprin, Dark City, MTM, LD, Bubu Ataka Kusema, Fidel80, WomanofSubstance, Kaka Mpendwa, The Finest, PDidiy, Nyani Ngabu (plus your other 50 IDs. hehe), The Boss, Gaijin, Superman, Nemo, Maria Roza, Kaizer, just to mention the few. Special admiration to Askari kanzu, Nonda, Eqlypz and your Cos for keeping the International Forum active na Mtazamaji hasa kwenye posts zake za mambo ya technology. Bila kuwasahau controversial members kama akina FaizaFoxy, Mertyna na Not Enough.

Ninamwa-admire Nyumba Kubwa. Mara nyingi wakati tujajadili thread huwa tun-argue theoretically. Lakini Nyuma Kubwa likes to bring in her personal experience to the issue. I like that as it gives us a practical perspective on the issue.

Then, kuna huyu member mpya who entered JF by storm. Within a very short time, she has become one of the most popular members at JF. Sio mimi tuu, nafikiri wadau wengi wanapenda sana michango yake. She has brought in new perspectives. Her name is Asha D. I have to admit that it has been a privilege to read your posts.

Wapo wengine huwa wanaingia humu kwa msimu lakini I have learned a lot from their posts. People like Mbu. Credit kwa ile thread ya "Mtaji wa Milioni 10" na wale wote waliochangia. A lot of people will learn from it: https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/28270-mtaji-10-million.html. Pia Fundi mchundo kwa post zake hasa kwenye masuala ya ujenzi kama hapa: https://www.jamiiforums.com/busines...75026-gharama-za-kujenga-nyumba-tanzania.html

Kwa kweli wapo watu wengi sana ninaowa-admire sitaweza kuwataja wote. Labda niseme tuu nawapenda wanaJF wote regardless of our different views or clashes hapa JF. I have learnt a lot from you guys. I ove you all.
 
Back
Top Bottom