Khaaaa!!
Kwanzia leo sijibu tena PM zako za kizushi!!!
cybersex-ruksa
Thanks BB nakupenda nakuzimia sana tuNampenda Afrodezi,shosti,Not Enough,mwanajamiione,Miss Judith,belinda,gaga..... wanaume nampenda CPU,EMT, Manyanza,Bigirita, mzee m,Rutashubanyuma
Khaaaa!!
Kwanzia leo sijibu tena PM zako za kizushi!!!
Mmi Gaga ukisema wewe tu kwamba nakuboa basi nahama JF, hivi sikuboi?Thanks BB nakupenda nakuzimia sana tu
Don't even worry babe! you are on my list as well! hope am inside yours too. Love u
Lizzy achana na nn, sogea huku nikung'ate sikio
Sawa bana najua siku hizi nimekuwa tairi la spea lakini mungu atanilipia banaOrait....ntakua najibu ila nachelewesha!
heheh kamanda lazima tukupe upinzani bana, unataka uondoke nao kiulaini namna hii.Haya yote ni mauwivu tu.....! Hahahaha..!
heheh kamanda lazima tukupe upinzani bana, unataka uondoke nao kiulaini namna hii.
Naomba kufahamu nini kinaendelea hapa
Mi simchuki mtu ila nazipinga zile thread zenye kuitazama jinsia moja kama malaika na nyingine kama vijaragosi.
LIZZY your my no1, then come.: husninyo, afrodenz, dena, asha d, the finest, paka jimmy, michele, speaker, eliya, na wanaJF WENYE POSITIVE THINKS TO SAVE THE PEOPLE TO SAVE THE WORLD FROM THE NATURE'S GIFFEN HEROES without weapons pamoja sana wagen na wenyeji.
Jamaa walikuwa wanachakachua sredi namie nikaona isiwe tabu "If you cant beat them Join them" (Source: Lucky Dube), Lakini sasa hivi naona wamehamia PM wanadanganyana.
Dou nilikuwa bize naangalia nani ingalau ananihusudu nimekuta kush nehi, but hii hainikatishi tamaa, im spreading my love to my all special friends hawa wako kwenye profile yangu, na wale wote wanaonipenda na wasionipenda. Sina sababu ya kuchukia mtu yeyote hata kama amenikera kwenye uchangiaji wake, sanasana nachukulia kama changamoto ya kuendelea kwenye thread nyingine
Mimi napenda uzi za Pauline lakini tangia nimemsifia tembo kalitia maji siku hizi hata hatundiki kitu ingawaje hujitokeza kuchangia siku moja moja sijui nani kamkorofisha......................Asha D naye hujitahidi...............................siku moja moja vile..............
Nawapenda wote wanaoshindana kwa hoja. My favourites ni Dena Amsi, Michelle,Asha D,Preta,First Lady,The Finest,Gaga and You Lizy. Nawachukia wote wanaowatukana wenzao wakikosoa post zao.
Na jana nilimuona Lizzy anasema anachukia wanaochakachua hii thread lakini leo................ngoja nisimalizie asije anza kunichukia na kunipenda hapo hapo
Aaaargh Lizzy asikushtue sana. Lizzy siku akikosa PM yangu anakuwa anaropokwa tu hata haelewi anaongea nini! Siku ukiona Lizzy anaongea mapointi basi ujue siku hiyo Klorokwini kamPM Lizzy. Asha D atathibitisha hili