Nani unamu-admire hapa JF?

Nani unamu-admire hapa JF?

Why lie (Wallai) ukisikia mkosi ndo huu
Khaaa! Mwanzo wa uzi mpaka page 15 hakuna anenipanda wala kunchukia????!!
MMMH.............

Newei, mi kuna watu nawakubali sana hapa
MJ1,AshaD,Mitch,Gaijin,sijamsoma siku nyingi...huwa mnadondosha midude yaukweli
Wakaka pia Sipirino,Kuloro,Mbu,DC,BAK,NN,Pakajimmy,wapi Fidel...?
na bila kumsahau Mzee Mzima Mwanakijiji

Sichukii m2 humu ndani so nawapenda wengine woooote
because I always learn a lot from you guys.
 
Aaaargh Lizzy asikushtue sana. Lizzy siku akikosa PM yangu anakuwa anaropokwa tu hata haelewi anaongea nini! Siku ukiona Lizzy anaongea mapointi basi ujue siku hiyo Klorokwini kamPM Lizzy. Asha D atathibitisha hili

Kloro unajua umeniweka pabaya... you know mimi niko upande wa CPU daima - alafu unatoa siri.... acha kuniuzia case!
 
Why lie (Wallai) ukisikia mkosi ndo huu
Khaaa! Mwanzo wa uzi mpaka page 15 hakuna anenipanda wala kunchukia????!!
MMMH.............

Newei, mi kuna watu nawakubali sana hapa
MJ1,AshaD,Mitch,Gaijin,sijamsoma siku nyingi...huwa mnadondosha midude yaukweli
Wakaka pia Sipirino,Kuloro,Mbu,DC,BAK,NN,Pakajimmy,wapi Fidel...?
na bila kumsahau Mzee Mzima Mwanakijiji
Sichukii m2 humu ndani so nawapenda wengine woooote
because I always learn a lot from you guys.

Daughter genuinely sikutegemea hili toka kwako
hio inanifanya nifurahi zaidi na pia kuappreciate which
leaves me in on position but to love you too....
Thanks Dearest....:humble:
 
Kiuhalisia hakuna sababu ya kumchukia mtu,inatakiwa tena ufurahie wale wanaokupinga kwa kupitia hao utaweza kubadilika na kuwa mtu mpya!
 
Why lie (Wallai) ukisikia mkosi ndo huu
Khaaa! Mwanzo wa uzi mpaka page 15 hakuna anenipanda wala kunchukia????!!
MMMH.............

Newei, mi kuna watu nawakubali sana hapa
MJ1,AshaD,Mitch,Gaijin,sijamsoma siku nyingi...huwa mnadondosha midude yaukweli
Wakaka pia Sipirino,Kuloro,Mbu,DC,BAK,NN,Pakajimmy,wapi Fidel...?
na bila kumsahau Mzee Mzima Mwanakijiji

Sichukii m2 humu ndani so nawapenda wengine woooote
because I always learn a lot from you guys.

Pamoja sana Daughter. Love u more darling!
 
Back
Top Bottom