Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 321
duh Aiseee we ni noma yani unaweza kuingia kwenye Moyo wa mtu?(y puttings words in my mouth?)Nilichokiongea ni kutoka ktk nafsi,chini ya mtima wangu sina sababu ya kumchukia mtu,lkn siwezi kuzuia mtu kunichukia!hii lugha hapa sijaielewa hata kidogo
siamini!it is human nature hata watoto wa tubo mmoja kuna wanaoivana zaidi.
Kukata mzizi wa fitina taja majina ya uwowaona namna gani vipi.
Personally I hate this girl Faiza foxy sijui hata kwa nini simkubali.
Pearl would u like to me?hate me now