Nani unamu-admire hapa JF?

Nani unamu-admire hapa JF?

Pole sana mkuu rudi # 120 nime-edit utacheka sana,kwa kina Michelle ulienda unaongea kiswahili nini ? kiswahili na Masaki wapi na wapi labda ndio maana mdingi akaona unaweza kumletea majambazi kutoka Mtogole usiku hahaha!
 
Yakhe mie napenda zile thread ambazo ni zenye maadili! ila siwapendi wale jamaa ambao ni wagumu wa kutoa thanks na wengine ni wale ambao walikipigia kura kitufe cha GROAN eti kirudishwe!!!
Hilo la thanks mi huwa nashangaa mtu ana posts 500 au zaidi na hajatoa hata thanks moja nae kapata kibao,nisingependa kuwa jirani ya mtu kama huyo lol!
 
Pole sana mkuu rudi # 120 nime-edit utacheka sana,kwa kina Michelle ulienda unaongea kiswahili nini ? kiswahili na Masaki wapi na wapi labda ndio maana mdingi akaona unaweza kumletea majambazi kutoka Mtogole usiku hahaha!

heheh nimeona 120, kama ulokuwepo kamanda yaani nilitinga masaki na baskeli na jeans yangu ya kuazima , ile kugonga bell ya mlango tu naskia wajomba wameanza kunadi mwiziii! Mungu mkubwa kamanda! nilichomoka na spidi ya semenya.
 
Nawapenda kwa moyo wangu wote wafuatao:
Wasichana: NEMO, FREEMA ....., ASHA D, ROSE 1980, LIZZY,FIRST LADY 1,BELINDA JACOBS,AFRODENZI na natamani siku moja tujuane zaidi ya JF, napenda hoja zao na uwezo wao kufikiri,kujenga hoja na kutetea hoja yao na zaidi wana mioyo/akili inayochukulia mambo serious.

Wanaume nawapenda wafuatao: MTM, The Finest, EMT, Nonda,Arsene Wenger,Balantanda, Speaker,BAK,Klorokwini wa ukweli,Uporoto,Mbu na zaidi japo hayupo JF siku hizi Hashycool!

Sijapata bado wa kumchukia......!!!
 
Nawapenda kwa moyo wangu wote wafuatao:
Wasichana: NEMO, FREEMA ....., ASHA D, ROSE 1980, LIZZY,FIRST LADY 1,BELINDA JACOBS,AFRODENZI na natamani siku moja tujuane zaidi ya JF, napenda hoja zao na uwezo wao kufikiri,kujenga hoja na kutetea hoja yao na zaidi wana mioyo/akili inayochukulia mambo serious.

Wanaume nawapenda wafuatao: The Finest, EMT, Nonda,Arsene Wenger,Balantanda, Speaker,BAK,Klorokwini wa ukweli,Uporoto,Mbu na zaidi japo hayupo JF siku hizi Hashycool!

Sijapata bado wa kumchukia......!!!

Thats my gal! I love u too baby, Ur presence always flavour my heart, Ur style conquer my comfy, Strength me baby with ur that unique skills, Excuse my grammar cuz when u r arround i cant even spell my name right. Love u baby!
 
sipendi
MADHARAU, uwivu usio na maana,
kuchangia poster ajili unamjua mtu au
kwa sababu yuko hapa kwa muda, watu
wanaotukana MODS, watu ambao hawajui kati
utani na ukweli, sipendi wanao dharau wageni( wana JF wapya)

napenda
kila mtu hatakama hunipendi hainijalishi
kwani hunijui sikujui ... ( zaidi napenda dawa zote)
na wanaopenda uchesi , wanaosema kilichoko
akili mwao bila kujali nani ni nani ( bado wanazingatia Sheria)

zaidi napenda mtu anae msiifu mwenzie kwa kazi nzuri
alie fanya...

Sjui kwanini hukuwa balozi wa Tanzania nchini Hongkong? khaaaa! yaani una mapwenti kuliko ya ex waifu wa shwazinega?
 
Thats my gal! I love u too baby, Ur presence always flavour my heart, Ur style conquer my comfy, Strength me baby with ur that unique skills, Excuse my grammar cuz when u r arround i cant even spell my name right. Love u baby!
Jamani kloro kwenye thread hii hii ulikuwa na mpango wa kumtafuta spanish lady usimdanganye mdogo wangu Michelle.
 
Kamanda ile ilikuwa ni teknik ya kumleta michelle arround, sasa amewasili acha tulembee mistari ya kiduku.
 
I always read contributions and threads regardless who the author is. That helps me to not using stereotype when making contribution. Hence I neither love nor hate anybody because I don't even remember/care who said what, but I remember what was said.
 
Nawapenda kwa moyo wangu wote wafuatao:
Wasichana: NEMO, FREEMA ....., ASHA D, ROSE 1980, LIZZY,FIRST LADY 1,BELINDA JACOBS,AFRODENZI na natamani siku moja tujuane zaidi ya JF, napenda hoja zao na uwezo wao kufikiri,kujenga hoja na kutetea hoja yao na zaidi wana mioyo/akili inayochukulia mambo serious.

Wanaume nawapenda wafuatao: The Finest, EMT, Nonda,Arsene Wenger,Balantanda, Speaker,BAK,Klorokwini wa ukweli,Uporoto,Mbu na zaidi japo hayupo JF siku hizi Hashycool!

Sijapata bado wa kumchukia......!!!

sante mpenzi,
mimi penda sana wewe pia...
mimi taka kutana na wewe sana..lol:A S-rose:
 
Sjui kwanini hukuwa balozi wa Tanzania nchini Hongkong? khaaaa! yaani una mapwenti kuliko ya ex waifu wa shwazinega?

mmmhhh bwana umeanzae
leo nimekula ngumu ya jeshi
sicheki .... sasa zidisha dozi
au nakugandamiza katikati ya
vijiko viwili nakuwekea asali na sukari
maji kibao.. (halafu nafikiriammmmmhh
niimwage au niinywe)
 
Kuna ile ulitumia siku ile sijui kwa Keren au Hus ilikuwa mizuri badili jina tu na kuweka Michelle lol!:wink2: Cpu hutumia sana hiyo teknik.
hehehe kamanda hapa nimecheka kwa laudi speaker. CPU anakuwa anachukua nyimbo za Pepe kalle halaf anatafsiri kwa kiswahili anatongozea. Hii teknik kama haujui kilingala hauwezi kuishtukia.
 
Back
Top Bottom