Nani unamu-admire hapa JF?

Nani unamu-admire hapa JF?

Kama ilivyo majumbani..maofisini au hata mtaani lazima kila mtu kuna watu anaowapenda (admire) zaidi ya wengine na wengine huwapendi (disapprove of ..get disgusted with...dislike) kwa mambo wanayofanya au wanavyoyafanya.Hii ni hali ya kawaida tu kwahiyo naamini hata hapa JF wapo wanokuboa kwa namna moja ama nyingine.

Kwahiyo swali langu ni hivi nani/kina nani hapa JF unawaADMIRE kiasi kwamba hata wakichangia thread ambayo wewe hujaifurahia utaingia tu ili kujua walichoandika wao?!
Na je kina nani michango yao na thread zao zinakuacha umeshanga tu na kujiuliza hivi huyu mtu vipi?!

Mi nakua wa kwanza kusema nnaowadmire ni wengi kuliko wanaonishangaza...kwahiyo hawa ntawataja baadae!Anaeniboaga ni NN au Nyani Ngabu ukipenda...yani mshkaji ye michango yake mingi inaashiriabye anajiona ni bora kuliko!Kila kitu anajua yeye...na kila mtu amsikilize yeye.Kama tungekua tunaongea kwa sauti ningesema ni mmoja wa wale watu wasionyamazaga na kumuacha mwingine aongee.Hata kama hajui kitu atajifanya na kung‘ania anajua!

So
Next ni babu yangi ASIPIRINI...japo nampenda sana ila akianzaga kutetea infidelity basi naishia kutamani asingekua babu yangu nimpe kavu za uso!!Sorry babu...nimekua mkweli tu!!!

So vipi wewe......?!Usisahau sababu ili kama mhusika anaweza ajirekebishe au aendeleze libeneke kwa kinachofagiliwa!!

Lizzy umeniibia sredi yangu.
Nimekuwa nikiwaza kuposti hii ila mmmmmh..........kazi ipo
 
Nawapwnda woote wanaonipenda,siwachukii wanaonichukia maana hawajui kwann wananchukia na wakijua kwann wananichukia watanipenda tu so daima itakuwa mapendo.
 
Nawapwnda woote wanaonipenda,siwachukii wanaonichukia maana hawajui kwann wananchukia na wakijua kwann wananichukia watanipenda tu so daima itakuwa mapendo.
siamini!it is human nature hata watoto wa tubo mmoja kuna wanaoivana zaidi.

Kukata mzizi wa fitina taja majina ya uwowaona namna gani vipi.

Personally I hate this girl Faiza foxy sijui hata kwa nini simkubali.
Pearl would u like to me?hate me now
 
Faizafoxy ananiboa.

Sikuwepo pls nani alinitaja kunichukia nianze kukaa mkao wa shari kila napokutana nae?
Hamna hata mmoja mwaya...wote tunakupendana kama mbu apendavyo damu!!!
 
sorry kwa kupora mawasiliano.
penda wewe kwa namna ulivyotetea uvaaji wa dada wa iringa stand.

ooh achante chana meryi tyina. mimi chipendji kabicha kuona wadada wakionewa. angekuwa mwanamume ndo kakatiza pale wala achingeguchwa.
 
Back
Top Bottom