In a way nakubaliana na selection yako thou wapo wengi saaana ambao kila mmoja anacheza nafasi yake kwa njia moja ama nyingine kwa kuwepo hapa Jf. Sijajua ni vigezo gani unatumia kusema ama kujua kuwa member ni GT ama lah...
Mimi ni mdau mkubwa wa MMU... Kabla hatuja report hii post, tafadhali rekebisha ama toa vigezo vya wewe kudhania kuwa MMU hakuna GT. Kuna majukwaa mengi sana hapa Jf; of all jukwaas you had to choose MMU... Tafadhali naomba vigezo kama hutajali...
Mmu ndo nin kaka mhSikubaliani na mleta mada hapa.MMU sijui ni kwa nini idharaulike.Mimi na Mwanakijiji ni members MMU sasa inakuaje unatuweka kwenye vigezo vingine huku akiidharau MMU?MMU ni hobbie,ni issue ya kisaikolojia na kibailojia.Ni social
Hapa ni sawa na kusema wapenda mpira au Mziki hawawezi kuwa GT.Mleta mada kaanzishe thread kule MMu waombe msamaha.Merry Christmass!
Mmu ndo nin kaka mh
Sikubaliani na mleta mada hapa.MMU sijui ni kwa nini idharaulike.Mimi na Mwanakijiji ni members MMU sasa inakuaje unatuweka kwenye vigezo vingine huku akiidharau MMU?MMU ni hobbie,ni issue ya kisaikolojia na kibailojia.Ni social
Hapa ni sawa na kusema wapenda mpira au Mziki hawawezi kuwa GT.Mleta mada kaanzishe thread kule MMu waombe msamaha.Merry Christmass!
In a way nakubaliana na selection yako thou wapo wengi saaana ambao kila mmoja anacheza nafasi yake kwa njia moja ama nyingine kwa kuwepo hapa Jf. Sijajua ni vigezo gani unatumia kusema ama kujua kuwa member ni GT ama lah...
Mimi ni mdau mkubwa wa MMU... Kabla hatuja report hii post, tafadhali rekebisha ama toa vigezo vya wewe kudhania kuwa MMU hakuna GT. Kuna majukwaa mengi sana hapa Jf; of all jukwaas you had to choose MMU... Tafadhali naomba vigezo kama hutajali...
Sikubaliani na mleta mada hapa.MMU sijui ni kwa nini idharaulike.Mimi na Mwanakijiji ni members MMU sasa inakuaje unatuweka kwenye vigezo vingine huku akiidharau MMU?MMU ni hobbie,ni issue ya kisaikolojia na kibailojia.Ni social
Hapa ni sawa na kusema wapenda mpira au Mziki hawawezi kuwa GT.Mleta mada kaanzishe thread kule MMu waombe msamaha.Merry Christmass!
Mwana jf yeyote aliyeleta mchango mkubwa hapa jf na kukufanya uipende zaidi JF.
Mfano:
1) Maxence Mello
2) Mzee Mwanakijiji
3) Ben Saanane
4) Yericko Nyerere
5) Matola
Hao ni mfano tu, sasa wewe waweza kuchagua Mwana jf yoyote unaeona anastahili kuwa SHUJAA wa mwaka.
Vigezo muhimu hapa ni mtu yeyote aliyekuwa kivutio kwako kwa kutoa habari ZENYE kuelimisha na kuamsha hisia za mwana JF.
Kwa ujumla ni mtu yeyote aliyekufanya usikose kuingia JF kwa mwaka 2012 kwa habari zake zenye manufaa kwa taifa na watu wake.
Mtu yeyote aliyejenga hoja thabiti na akavuta hisia za wana JF.
Karibuni wadau!
Hii ngumu sana kwangu, hapa JF ni watu wengi sana ambao ni muhimu kwangu
Wapendwa AshaDii na Ben Saanane, ni wapi mtoa mada alipoisema MMU kuwa si ma GT?
Au inahusiana na hii...
Last edited by Che-lee; Today at 14:25.
Anyway, nawatakieni nyote heri ya Noeli.:mwaaah:
Mbona hujawataja akina ritz, ilhali nao mchango wao katika kuchangia mada mbalimbali hapa jf ni mkubwa? Mathalani katika jukwaa la siasa? Ingawa mm binafsi sipendi mitazamo yake, lakini kwakuwa jf ina watu wa aina mbali mbali najua wako wanaomkubali!
Mie nakukubali weye shem wangu wa Ukweli AshaDii.Mkuu Mchaka Mchaka kuna haja ya kulalamika kweli? Yeye kataja hao wake... Members ni wengi saana Jf; hivo hata wewe unaweza taja list ambayo inakukosha ikiwa pamoja na huyo Ritz . Ukifuata kuuliza mbona flani hajatajwa mbona mtihani, ni wengi sana wapo... Sawa na mimi nikuambie mbona hujamtetea zomba ihali ana mchango mkubwa pia?
Kwa urahisi unfanya kama alivyofanya SN.BARRY kwa kuwakubali woote pamoja ya yeye mwenyewe... Lol.
Heri ya xmass mkuu.