Nani pretender wa mapenzi kat ya mwanaume na mwanamke?

Nani pretender wa mapenzi kat ya mwanaume na mwanamke?

olengai

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
308
Reaction score
65
Wana jf, hebu tujadili kidogo na mwishoe tutoe comment..
Mara nyingi kunakuwepo na udanganyifu wa upendo wa dhati kwenye mapenzi,kwamba sisi wakaka tunalalamika kwamba wadada wengi wanapretend (wana act) kuwa wana mapenzi ya dhati sana na kama amekosea atakulilia mpaka machozi yatoke,lakin ukimsamehe,anarudia yaleyale.

Wadada nao wanadai wanaume hawana mapenzi ya dhati kwa kuwa wakati mwingine hampigii cm au hampi ela..
Je nan hana mapenzi ya dhati zaidi?
 
Mpakamtu kuwa pretender ni kutokana na acting uliompa na nkisema acting namaanisha labda ulikua unaenda kumchukua na gari chuo na kumpeleka kwao thn lazima awe pretender ili uzid kumpa dat service ila Boys n gals wote wako gd bt pretender ni yule ambae hayupo for real katika relatnshp mana anaigza ili apate anachotaka then anasepa so cwez judge if ni boy au gal ila jua ni yeyote asie real katika uhusiano
 
hizi habari za eti kila dakika upige simu huwa naona ni kuzinguana tu.... hence, girls are good pretenders as they like to entertain silly things in what they claim to be the name of love.....
 
Mmenikumbusha nna hamu ya kulia. Ngoja nimkosee paw, hatujagombana mwaka mzima! Wikiendi nalianzisha.
TANMO, mi nisipopigiwa na kuwa whatsupped kila saa nanuna tena sio kwa kupretend!
 
Last edited by a moderator:
Men's are known to be smart pretenders-psychologist wanasema hvyo sio mm

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom