Hao ni kina nani?1. Franco luambo makiadi
View attachment 3410299
2. Tabu Ley Rochereau
View attachment 3410301
3. Papa wemba
View attachment 3410303
4. Pepe kale
View attachment 3410306
List hii ni ya OG wa rhumba, wakina fally wanaimba Rhumba ya kimarekan
Duuh siwajuiwasanii hao si unaona nmeweka na majina yao
90s mwishoniwa 2000 sio?
Hao wote ni watoto wadogo kwa Franco. Franco amekuwa in charge of Rhumba kwa miaka mingi mpaka alipotunga wimbo wa kuzalilisha wanawake, Mobotu akamfunga. Alipotoka akapoteza nguvu lakini aliendelea kuwa influential. Wanamuziki wote wa Zaire walikuwa hawaruhusiwi kwenda kuimba nje ya nchi bila kupewa kibali na Franco.
Daah wewe unataka kusemajemarahabaa hujambo